Mwigulu angekua na PhD angekua anaongea maneno ya kwenye kanga?
Mwigulu alinunua cheti cha PhD kama wenzake wengine walio nazo lkn hazina impact.
Mtu kama Mwandosa akiongea unajua kwamba, kweli hapa kuna PhD au mtu kama E. Mtei akiongea unajua hapa kuna msomi?
Msomi gani anauliza swali kama pimbi eti " ULIKUWEPO" ? OKAY yeye aliyekuwepo atuambie walichinja watanzania wangapi oktoba 29