Jakaya Kikwete huwa unaupeleka wapi umeme wa Tanzania?

Neno Megawat lilikuwa halijulikani kwa ngwini wengi mpaka JK alipokuwa madarakani.

Kipindi cha JK ndiyo tukajua kumbe TANESCO ni shirika linalotegemea makampuni mengine kutupatia umeme, ndiyo tukajua kumbe bila Dowans, Symbion, Iptl, Richmond hakuna umeme Tanzania.

JPM akatuprove wrong. Sasa nasikia JK unaushawishi na serikali hii, wengine wakisema wewe ndiyo Rais na Mama ni Malkia.

Umeme umepotea tena. Unaupeleka wapi umeme wa Tanzania?
Hebu huyu mzee wa watu tumuache. Halafu tuheshimu mamlaka halali ya nchi. Andiko lako ni matumizi jinai ya kutoa maoni. 🙏🙏🙏
 
Guys mwacheni huyu mzee, anaweza kuwa na mapungufu kama binadamu lakini alikuwa Rais muwazi, freedom of speech ilikuwa kubwa, hakukuwa na praise team, aliotoa mwanya wa watu kuonyesha uwezo wao, democracy ilikuwa kubwa na mambo mengi
 
Acheni Lawama"-

Toeni hela muwekeze kwenye umeme wa Nuclear.

Toeni hela mchimbe visima ,Mjenge Mabwawa ya kuhifadhi maji.

Mkifanya hivyo hata mvua isinyeshe miaka 10 hakutakuwa na mgao wa maji wala umeme.
 
Kuanzia 2015 mpaka 2020 biashara ya "majenereta" ilikuwa mbaya sana. Muingizaji mkubwa wa majenereta hapa nchini ni "Mchina".

Wachina wana "historia" nzuri sana na "mstaafu yule". Mama ana urafiki wa karibu sana na "mstaafu yule". Juzi juzi mama alienda China na aliporudi "mgao wa umeme" ukaongezeka mara dufu.

Ukiunganisha dots utaona kuna kitu kinafanyika sio bure. Mchukue mama, mstaafu yule na waziri wa wizara husika utaona kuna ajenda fulani ya siri kuhusu mgao wa umeme.
 
Kipindi cha Mkwere 2005 mpaka 2015 kulikuwa na ukame,schedule maintenance na maboresho ya vutuo chakavu vilikuwa vikifanyika mara kwa mara na ndio maana kulikuwa na mgao wa mpaka masaa 12.

Ila 2015-2020 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zina muogopa Mwendanzake kwani alikuwa anazinyima uhuru wa kunyesha.
Muongo weweeeee
 
Kuanzia 2015 mpaka 2020 biashara ya "majenereta" ilikuwa mbaya sana. Muingizaji mkubwa wa majenereta hapa nchini ni "Mchina".

Wachina wana "historia" nzuri sana na "mstaafu yule". Bibi kizee ana urafiki wa karibu sana na "mstaafu yule". Juzi juzi bibi kizee alienda China na aliporudi "mgao wa umeme" ukaongezeka mara dufu.

Ukiunganisha dots utaona kuna kitu kinafanyika sio bure. Mchukue bibi kizee, mstaafu yule na waziri wa wizara husika utaona kuna ajenda fulani ya siri kuhusu mgao wa umeme.
Siku hizi tunafunga Solar mkuu, tushayasahau majenerata, nakumbuka ukiingia bush uko ambako umeme haukufika mpaka alipoingia Medard Kalemani akakomalia umeme wa rea wa 27,000/= kila nyumba huko bush leo umeme umefika ila hawajaondoa Solar zao bado zipo juu ya bati umeme ukizima Solar inawapa backup

Labda mchina aje na teknolojia ya Solar hapo tutakuelewa,
 
Huko bush matumizi ya umeme ni taa tu na saloon mbili tatu.
Huku mjini ni mateso,solar haina kazi viwandani
 
Kipindi cha Mkwere 2005 mpaka 2015 kulikuwa na ukame,schedule maintenance na maboresho ya vutuo chakavu vilikuwa vikifanyika mara kwa mara na ndio maana kulikuwa na mgao wa mpaka masaa 12.

Ila 2015-2020 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zina muogopa Mwendanzake kwani alikuwa anazinyima uhuru wa kunyesha.
Muongo weweeeee. Vipindi vyote Tanzania vinaelekeana miaka yote. Kama ni mvua ni kipindi cha mvua. Kama ni kiangazi unakuwa hivyo kwa miaka yote.

Iko wazi tu Magu alikuwa na nia ya dhati kabisa kumalizq tatizo la umeme. Pia alikuwa ni kiongozi kwa ajili ya wananchi. Na alisema wazi sababu ya umeme kukatikatika. Hawa wapo kwa ajili ya maisha yao na familia zao tu,hawajali kuhusu wengine. Hii nchi kwa sasa kama huna connection na hawa viongozi jihesabie utapigwa sana kuanzia tozo mpaka maisha magumu.
Magu aliweza kushusha gharama za kulipia umeme mpaka 27000. Wamekuja mafisadi ni laki 320,na ukiwauliza kwa nini ni tofauti kubwa na Magu?. Hawana majibu.
Sasa wanakuja soon kutakuwa hamna law taarifu,wote itakuwa level. Utakuwa unalipia umeme sawa na vifurushi. Wale tunaolipia wa 9000 ukiweka utakuwa unapata unit kidogo ambazo labda za wiki. Ndiko tunakoenda. Itabaki walionacho hawataona shida yoyote kwenye hili. Ukizingatia kwa sasa mafisadi yanarudi kwa kasi. Halafu yamehoz hela zote haziko mitaani kwa sasa. Wanachimbia tu. Walalahoi wanapigika. ALISEMA MTANIKUMBUKA
 
Huko bush matumizi ya umeme ni taa tu na saloon mbili tatu.
Huku mjini ni mateso,solar haina kazi viwandani
Na hapo kwenye viwanda ndio wanapochukua point 3 za kukata umeme na kuugawa kwa mafungu,
 
Muongo weweeeee. Vipindi vyote Tanzania vinaelekeana miaka yote. Kama ni mvua ni kipindi cha mvua. Kama ni kiangazi unakuwa hivyo kwa miaka yote.

Iko wazi tu Magu alikuwa na nia ya dhati kabisa kumalizq tatizo la umeme. Pia alikuwa ni kiongozi kwa ajili ya wananchi. Na alisema wazi sababu ya umeme kukatikatika. Hawa wapo kwa ajili ya maisha yao na familia zao tu,hawajali kuhusu wengine. Hii nchi kwa sasa kama huna connection na hawa viongozi jihesabie utapigwa sana kuanzia tozo mpaka maisha magumu.
Magu aliweza kushusha gharama za kulipia umeme mpaka 27000. Wamekuja mafisadi ni laki 320,na ukiwauliza kwa nini ni tofauti kubwa na Magu?. Hawana majibu.
Sasa wanakuja soon kutakuwa hamna law taarifu,wote itakuwa level. Utakuwa unalipia umeme sawa na vifurushi. Wale tunaolipia wa 9000 ukiweka utakuwa unapata unit kidogo ambazo labda za wiki. Ndiko tunakoenda. Itabaki walionacho hawataona shida yoyote kwenye hili. Ukizingatia kwa sasa mafisadi yanarudi kwa kasi. Halafu yamehoz hela zote haziko mitaani kwa sasa. Wanachimbia tu. Walalahoi wanapigika. ALISEMA MTANIKUMBUKA
Tukubaliane tu kuwa kuna wahuni wameamua kutupiga kupitia umeme kipindi cha JK wamerudi tena
 
Guys mwacheni huyu mzee, anaweza kuwa na mapungufu kama binadamu lakini alikuwa Rais muwazi, freedom of speech ilikuwa kubwa, hakukuwa na praise team, aliotoa mwanya wa watu kuonyesha uwezo wao, democracy ilikuwa kubwa na mambo mengi
Ana mazuri mengi ila umeme unamuharibia
 
Neno "Megawatt" lilikuwa halijulikani kwa ngwini wengi mpaka Kikwete alipokuwa madarakani kama Rais.

Kipindi cha JK ndiyo tukajua kumbe TANESCO ni shirika linalotegemea makampuni mengine kutupatia umeme. Ndiyo tukajua kumbe bila Dowans, Symbion, IPTL, Richmond hakuna umeme Tanzania.

Magufuli akatuprove wrong. Sasa nasikia Kikwete una ushawishi na Serikali hii, wengine wakisema wewe ndiyo Rais na Mama ni Malkia. Umeme umepotea tena.

Unaupeleka wapi umeme wa Tanzania?
Wahuni?
 
Siku hizi tunafunga Solar mkuu, tushayasahau majenerata, nakumbuka ukiingia bush uko ambako umeme haukufika mpaka alipoingia Medard Kalemani akakomalia umeme wa rea wa 27,000/= kila nyumba huko bush leo umeme umefika ila hawajaondoa Solar zao bado zipo juu ya bati umeme ukizima Solar inawapa backup

Labda mchina aje na teknolojia ya Solar hapo tutakuelewa,
Utatumia umeme wa solar kwenye biashara za viwandani, welding na kuuza samaki???

Hata wenye salon za kunyoa nywele hawawezi kutumia solar.
 
Tukubaliane tu kuwa kuna wahuni wameamua kutupiga kupitia umeme kipindi cha JK wamerudi tena
Ndio hivyo. Kabisa. Magu ksbb alikuwa anawajua,aliwapiga pembeni wengi wapigaji. Ila sasa wamerudi kwa kasi wanatupiga hatari. Na Watanzania walivyo wanyonge tumetulia tu. Hatupigi kelele. Hii kitu kukatika umeme kuanzia saa 1 asbuhi hadi saa 5 usiku hakiwezi kutokea nchi jirani tu hapo Kenya au Zambia,nchi nzima ingezizima
Sisi wananchi wa Tz ni kama shamba la mafisadi wanatuanzia tu matozo kila Aina. Kwenye vifurushi tozo,m pesa tozo,bank tozo,umeme tozo. Umeme haupo.
 
Back
Top Bottom