Jakaya Kikwete huwa unaupeleka wapi umeme wa Tanzania?

Utatumia umeme wa solar kwenye biashara za viwandani, welding na kuuza samaki???

Hata wenye salon za kunyoa nywele hawawezi kutumia solar.
Ndio maana nikazungumzia bush sijazungumzia town, elewa point yangu kabla hujaikosoa
 
Nilijua hii ya kurudi saa tano ni huku tu nilipo!!kumbe ni kila mahali
 
Ndio maana nikazungumzia bush sijazungumzia town, elewa point yangu kabla hujaikosoa
Na mimi nilizungumzia wanaonunua majenereta kwa ajili ya kuendesha biashara zao huko mijini hasa kipindi hichi ambapo umeme umekuwa tatizo kubwa.
 
Hili Taifa lilichezewa sana na bado linaendelea kuchezewa.
 
Bado hamjaanza kumkumbu mwamba kama alivyosema MTANIKUMBUKA.
 
Ulijaribu kugeuza nyuma ya panel imeandikwa made in wapi mkuu?
Hapa ni sawa na maharage kuyatenga kwenye sufuria halafu ukayabadilishia tena kwenye chungu.
 
Umeme ni sehemu nzuri kwa mafisadi kupigia hela ya uhakika ndio maana baada ya kurudi madarakani bilioni 350 zilipigwa juu kwa juu haraka haraka
 
Pamoja na kujilimbikizia mimali yote hiyo haina faida maana ataishia motoni kwa shetani.

Mungu hawezi mpokea Mbinguni na kuishi nae mtu mbinafsi namna hii na mwenye tamaa ya mali kupitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…