Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Viongozi wastaafu kama Rais Jakaya Mrisho Kikwete bado kodi zetu zinalipa 80% ya mshahara wake alipo kuwa Rais.
Kazi yake nini?
Tulitegemea atoe tamko la kulaani maafa yaliyotukuta.
Tulitegemea yeye kama Rais mstaafu amsahihishe mwenziwe Rais Samia katika namana bora kulendesha Taifa.
Badala yake anakunja mkwanja na yuko kimyaa....!
Analiletea Taifa manufaa gani?