Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Hata asipokemea ni sawa tu kwani nani Tanzania hii hajui yeye na genge lake ndio ma mastermind wa uchafu wote uliotekea?.Tulitegemea atoe tamko la kulaani maafa yaliyotukuta.
Mnahangaika nalo la nini mbwa lile?Viongozi wastaafu kama Rais Jakaya Mrisho Kikwete bado kodi zetu zinalipa 80% ya mshahara wake alipo kuwa Rais.
Kazi yake nini?
Tulitegemea atoe tamko la kulaani maafa yaliyotukuta.
Tulitegemea yeye kama Rais mstaafu amsahihishe mwenziwe Rais Samia katika namana bora kulendesha Taifa.
Badala yake anakunja mkwanja na yuko kimyaa....!
Analiletea Taifa manufaa gani?
Du.. hii komesha!!Sio busara kuongea wakati wa kula.
Mkuu wangu Jidu ulitaka huyo shetani aseme nini wakati yeye ndiye kivuruge mwenyewe aliyewasha huu moto?Viongozi wastaafu kama Rais Jakaya Mrisho Kikwete bado kodi zetu zinalipa 80% ya mshahara wake alipo kuwa Rais.