PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona Kikwete wakati wake aliruhusu Demokrasia mbona hamshauri huyu Mama vizuri au anataka yeye tu ndie asifiwe na kuingizwa kwenye historia ya Awamu yake kuwa ndio the Best.

Mzee Kikwete mshauri huyu Mama aache Umagufuli kama haiwezekani futeni huu mfumo wa Demokrasia ya Vyama vingi ili mbakie kama miaka ya 70 na 80 ili zidumu fikra zenu tu.
 
Kikwete kasharudisha vyote alivyopokwa na magu na Faidaa juu.saivi anakula kwa mrijaa. Tena mitanzania tulivyo manyumbu tutaibiwa wajukuu zetu sijui tutakuwa tumewaachia urithi gani.

Kikwete aliuza raslimali kwa wachina(gas mtwara)
Huyuu mama ni mwendo wa kuuza kwa waarabu.
DENI linapaa.
Ufisadi ndo usiseme kila mtu anajilia urefu wa kamba.

NDUGAI ALISEMA NCHI ITAPIGWA MNADA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…