PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Di aseme tu kuwa Familia zao zitaendelea kupata maendeleo makubwa. Kwa kweli familia za Kikwete, Samia na Mwinyi zimewekeza sana kwenye siasa. Hawa ndiyo wanaokwamisha mabadiliko.
 
Sio kazi ya Serikali kuleta maendeleo kwenye familia yako,Hilo ni jukumu lako.
 
Kuwe Po kwa Samia madarakani ni neema kwa Kikwete kwani inakuwa rahisi kwake kupitisha michongo yake!!
Huyo mkwere ni fisadi papa!
Hapo cha ajabu ni kipi? Na wewe tafuta mtu wako wa kukusaidia Kupitisha michongo, vinginevyo utazeeshwa na chuki haraka sana.
 
Ana haki yakusema hayo maana ni mwanachama hai wa CCM na ni Rais mstaafu kupitia CCM, pia ni mnufaika mkubwa wa Kila uozo wa CCM, lakini pia ana maslahi makubwa na ndani ya CCM.
Mke ni Mbunge wa Bunge la JMT, mtoto ni mbunge na Waziri ndani ya JMT, yeye mwenyewe ni mstaafu anayekula pension na posho mbalimbali mpaka kustaafu.

Watanzania tunapaswa kujipigania wenyewe tuachane na hizi ndoto zakuwategemea akina Jk kutupigania.
 
Mtawategemea kina nani ambao sio wananchama hai wa Vyama vyao na ambao hawajinufaishi?
 
Back
Top Bottom