PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

 
Wakati wake watu waliompinga walishughulikiwa kimya kimya!
Hiyo ndio utaita Demokrasia wakati wake ??!
KARMA IS JUST AROUND THE CORNER.
 
16 bilioni ni Kilometers 16 za ujenzi wa barabara za lami.
Mmekimbizia fedha kwenye majengo ili kuonyesha mlichokifanya,ila wengi,wamegunfua ujinga huo.
 
Kweli bhana

FB_IMG_1744112290076.jpg
 
Maendeleo ya Taifa au ya kwake yeye Kikwete na familia yake!? Huyu vasco da gama anajiona kama bado yupo madarakani. Samia angempa tu uwaziri wa Mambo ya Nje, maana si kwa kiherehere hicho.
 
Jk ndio dalali mfaidikaji mkuu wa huu utawala wa hovyo!.
Mkewe mbunge, mwanae kawa waziri kabisa....
Sasa Hivi Amekuwa Tarishi wa kupeleka Mialiko Mbali Mbali Kwenye NCHI za Watu, Utadhania Waziri wa Mambo ya Nje hayupo
 
Back
Top Bottom