PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu sijamaaniaha urembo wala, na suala la masura mbaya lipo linajulikana
6024105-cc5a1a0af8183b97673efa78ce041885.jpg
 
Kikwete kaliumiza sana taifa hili huyo mtu, haiwezekani mabilion ya pesa yamepotea bunge la katiba halafu imeishia hewani kwa ajili ya kulinda wezi wenzie na yeye hajajutia hata hasara hiyo aliyo liingizia taifa bila outcome yeyote

Bila kusahau uchaguzi wa 2015 , huku Zanzibar alileta jeshi na kumlazimisha Jecha kufuta uchaguzi baada ya CCM kushindwa vibaya sana. Kikwete ni nyoka mbaya sana , Laanatullahi ni mnafiki wa mwisho. wazanzibari hatutomsahau wala kumsamehe.
 
Bila kusahau uchaguzi wa 2015 , huku Zanzibar alileta jeshi na kumlazimisha Jecha kufuta uchaguzi baada ya CCM kushindwa vibaya sana. Kikwete ni nyoka mbaya sana , Laanatullahi ni mnafiki wa mwisho. wazanzibari hatutomsahau wala kumsamehe.
Swadakta ! 🙏🙌
 
Maendeleo yapi? Makampuni yanafungwa! Mafuta bei juu! Mama wapika chakula maeneo haya kama 200 wameondoka! Bandari zimeuzwa! Ajira hakuna!, miradi inasuasua! Majiji machafu!, karata 3 zimerudi!!
Nini hasa kilichosogea???
Bwana la Mwl Nyerere limeisha, gharama za umeme bado zipo juu!
Taja kampuni iliyofungwa Moja tuu Ili twende sambamba.

Mafuta bei Juu yanazuia maendeleo? Au umekuta vyombo vya moto haviko barabarani?

Kama Bandari zimeuzwa hela ya Nchi 70% ya TRA Kwa nini itoke kwenye Bandari iliyouzwa?

Ajira hakuna? Kuna Rais amewahi toa maelfu ya ajira kumzidi Samia? Kama yupo weka namba na Mimi niweke.

Mengine yote ni porojo,just imagine mtu anakwambia Mirai inasuasuaa wakati huo huo anasafiri Kwa trenk,bwawa limekamiliak,adaraja yote yamekamilika na Kila kitu.

On top of that Kuna utitiri wa miradi Kila sekta kama hivi 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DIlyOhyN9ma/?igsh=anRqOHA3bnljMmk1
 
Ki

kikwete ndo mnufaika namba moja, mwanawe naibu waziri, mkewe mbunge yeye rais mstaafu anakusanya pension Kila Mwezi Kwa nn asiseme hivo?
Na wewe aliyesababisha mtoto wako asiwe Waziri au Mbunge ni Kikwete au Samia?

Jadili hoja acha ujinga
 
Back
Top Bottom