Justard zelphine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 461
- 278
Taja kampuni iliyofungwa Moja tuu Ili twende sambamba.
Mafuta bei Juu yanazuia maendeleo? Au umekuta vyombo vya moto haviko barabarani?
Kama Bandari zimeuzwa hela ya Nchi 70% ya TRA Kwa nini itoke kwenye Bandari iliyouzwa?
Ajira hakuna? Kuna Rais amewahi toa maelfu ya ajira kumzidi Samia? Kama yupo weka namba na Mimi niweke.
Mengine yote ni porojo,just imagine mtu anakwambia Mirai inasuasuaa wakati huo huo anasafiri Kwa trenk,bwawa limekamiliak,adaraja yote yamekamilika na Kila kitu.
On top of that Kuna utitiri wa miradi Kila sekta kama hivi 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DIlyOhyN9ma/?igsh=anRqOHA3bnljMmk1
Tatizo umekaa ki puppets sana!
Nikikutajia makampuni yaliyofungasha virago na kuondoka utasaidiaje?
Kama wewe ni mmojawapo mpeleka taarifa inaonyesha utakuwa mkika data! Hujui kitu ni kusifiasifia tu!
Unaongekea kilimo?? Ni lini Sekta hii iliwahi kufanya kazi kiufanisi zaidi ya kipindi cha mwalimu? Mmejiuzia mashamba makubwa mfano KAPUNGA mkawaweka wahindi kama maboya wakati lile lilikuwa eneo la uzalishaji mpunga kwa NAFCO na Wananchi!
Ache kufanyia kazi kwenye majengo na kupika data! Fanyeni research mtoe taarifa za ukweli! Mpo mnamdanganya mkuu! Shame on you!