Umaandika ujinga tu. Hebu hesabu uchumi toka 2024 to 2025Mbona hujaweka ya Tanzania badala yake unaweka taarifa kiushabiki na kichwani Ili kufurahisha ego Yako.
Weka hapa full report Ili tujue status ya Tanzania tulinganishe data za 2021 vs za 2025 tuone tumesogea kwa.kisasi gani.
Mwisho Kenya hakuna shida zozote za maana zaidi ya vurumai za Kisiasa ambazo hazijawahi kudumaza uchumi wao.
Wakenya ni vigorous business minded people and they are aggressive to opportunities as opposed to nyie mnaodai uwekezaji ni kuuza Nchi.
Mtaendelea kulalamika Kwa Serikali Kila kitu na akili zenu za kijamaa mbuzi.
Mwisho Uchumi unakua at steady growth kutoka USD 69 (2021) Hadi USD (86) 2025.
View attachment 3312744View attachment 3312745
On top of that data zilizopo rasmi ni zile za 2023 ambapo tuna USD 79,za 2024 ndio hizo tuko around USD 85 na kwamba by the end of 2025 yaani mwaka 2026 tutakuwa na USD 90 plus
View attachment 3312743
Uchumi wa Kenya ni mkubwa karibia mara 2 ya Tanzania.Umaandika ujinga tu. Hebu hesabu uchumi toka 2024 to 2025
Waulize wakenya wanafanyaje kuongeza dollar billion 20 ndani ya Mwaka mmoja tu.
Unaonekana wa ajabu kuendelea kusupport Ujinga. Kenya hawajauza mambo yao kwa mikataba ya ovyo ili kukuza uchumi wao.
Nyinyi na serikali yenu ndo janna akili za kuendesha hii nchi.
Ni busara kuachia madaraka na kuruhusu watu wenyew uwezo waongoze kuliko kuzidi kutumbukiza nchi shimoni
No, Siko upande wowote yaaniNdio si mtu wako huyo bila yeye maisha Yako hayaendi au?
Hili gamba ambalo sasa limegeuka chawa linatia kinyaa. Lilipokuwa rais lilifanya nini zaidi ya kuzurura na kuiba?My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Mada ni Samia na Maendeleo sio JKHili gamba ambalo sasa limegeuka chawa linatia kinyaa. Lilipokuwa rais lilifanya nini zaidi ya kuzurura na kuiba?
Ndio kuchagulika huko,Wapenda maendeleo tutamchagua waleta vurugu ni mtachezea virungu 👇👇Hachaguliki, aseme akipitishwa na tume.
Atashinda tuMy Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
AtashindaMy Take

Pesa zinaenda hukuWhere does that money go? Good 4 chawa and evil 4 wanyonge
Where does that money go? Good 4 chawa and evil 4 wanyonge