PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Duh siasa ya tanzania ni ngumu sana
Hivi mtu unaamini kitu alicho ongea mtu et kisa ni kiongozi wa chama fulani lakini kiundani we mwenyewe unaona hamna jipya wala la maana lililo fanywa.
Ukwel tanzania ni watu wachache sana wanafuatilia siasa coz siasa ya nchii hii haileti maana hata kwenye mambo madogo
Binafsi naelewa Tz ni nchi ambayo watu wake wanapenda maendeleo lkn sio wafuatiliaji wa siasa ndio maana wanafuata mkumbo kila wakati.
Pia hizi timu za mitandaon ndio zina onyesha wazi kwamba Tz inawatu wa ovyo kuwai tokea.
 
Sio swala la kuamini,hatuko huko kwenye makanisa yenu ni suala la kuona 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DIdfhpbsCgL/?igsh=ZWw3NGZmeHNuZjlt
 
UTUKUFU WA MWISHO UTAKUWA MKUBWA KULIKO WA KWANZA HALIKADHALIKA UHARIBUFU WA MWISHO UTAKUWA MKUBWA KULIKO WA KWANZA, ataendelea kuuza mali zetu, kauza bandari yetu, Ngorongoro kuna eneo kapewa mwarabu, viwanja vya ndege vitakuwa vya waraabu, ngoja tuone Mungu ndiye muamuzi wa yoteee
 
Kwanza hawajiamini, kama wanaona wako sahihi na wanapendwa na watu kwa nn waendelee kumshikiria Lissu? Hawajiamini na utendaji kazi wao wananchi sasa hv tumeamka hatutaki ujinga
 
Back
Top Bottom