PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
1744223577669.png
 
Wewe ndiye nyumbu, kuna maendeleo gani unayoyaona nchi hii. Fala wewe.Nchi imefisadiwa vya kutosha, wewe huoni kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Keki ya taifa letu inaliwa na wachache, Mama Samia, Abdul, Kikwete, Ridhiwani na ninyi watwana wao.
Jifunze pia kuongea kiswahili, sema tu siyo "tuu" Unaharibu kiswahili, huna haya wewe mjinga.
Nyumbu acha wenge, maendeleo sio porojo za ufipa ni matendo na matokeo kama haya 👇👇

View: https://x.com/HusseinBashe/status/1919281268530851926?t=O9LcbasjKN6aXdhXZEuJZQ&s=19
 
Nyumbu acha wenge, maendeleo sio porojo za ufipa ni matendo na matokeo kama haya 👇👇

View: https://x.com/HusseinBashe/status/1919281268530851926?t=O9LcbasjKN6aXdhXZEuJZQ&s=19

Jipe moyo tu wewe, tangu lini nchi hii imefanya kitu kikafanyika? Vyote feki tu, tume ya uchaguzi feki....wanaovaa kijani, katiba isiyofuatwa, rais asiyejulikana kiwango chake cha elimu....ndio maana anaua ua na kuteka watu ovyo, miradi inayoleta hasara sikuzote kwa kutumika kisiasa. Etc. Wewe nyamaza usiongee nyumbu ninyi mnaoteka na kuua, hamna aibu wajinga ninyi.
 
Ingekuwa haifanyi kikafanyika Leo hii Tanzania isingeweza kuipita Nigeria Kwa uzalishaji wa mahindi n kuwa namba 2 Afrika.

Nyumbu Acha wenge na Bangi za ufipa unapotea ,kazi zinaongea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DI7NKXjtu-4/?igsh=MTJqdWkzbXNwZ3pr

Mwisho Mnaotaka kuvuruga amani mtekwe tuu kwani mna faida gani?
 
Kikwete kasharudisha vyote alivyopokwa na magu na Faidaa juu.saivi anakula kwa mrijaa. Tena mitanzania tulivyo manyumbu tutaibiwa wajukuu zetu sijui tutakuwa tumewaachia urithi gani.

Kikwete aliuza raslimali kwa wachina(gas mtwara)
Huyuu mama ni mwendo wa kuuza kwa waarabu.
DENI linapaa.
Ufisadi ndo usiseme kila mtu anajilia urefu wa kamba.

NDUGAI ALISEMA NCHI ITAPIGWA MNADA.
Ndunga kauli zake ni za hovyo sana. Huyo jamaa aliwahi kutaka kubadilisha katiba ili Jiwe atawale milele so usimchukulie seriously sana.
 
Back
Top Bottom