ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mbona Kikwete wakati wake aliruhusu Demokrasia mbona hamshauri huyu Mama vizuri au anataka yeye tu ndie asifiwe na kuingizwa kwenye historia ya Awamu yake kuwa ndio the Best.
Mzee Kikwete mshauri huyu Mama aache Umagufuli kama haiwezekani futeni huu mfumo wa Demokrasia ya Vyama vingi ili mbakie kama miaka ya 70 na 80 ili zidumu fikra zenu tu.