ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kwa nini?Huyu Mzee sijui kwanini ameanzia bange uzeeni
1. Hebu say something kuhusu watu kutekwa na kuuawa e.g mzee Kibao, rais kasema uchunguzi ufanywe haraka ila mpakà leo hakuna kitu.My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Mada ni maendeleo kama unavyoona hapa 👇 👇1. Hebu say something kuhusu watu kutekwa na kuuawa e.g mzee Kibao, rais kasema uchunguzi ufanywe haraka ila mpakà leo hakuna kitu.
2. Hebu say something kuhusu bandari kupewa waarabu.
3. Hebu say something kuhusu mwendokasi kupewa waarabu, mabasi yawekewe gesi yetu bure wao wachukue nauli. Miundo mbinu tumejenga sisi.
4. Hebu say something kuhusu barabara ya Kibaha chalinze kua na foleni isiyo isha.
5. Hebu tueleze faida taifa ilizopata baada ya wasanii kwenda korea.?
Why?Inasikitisha
Kikwete ni mjanja mjanja sana. Uwepo wa Samia ni mtaji kwa maendeleo yake binafsi!My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Kikwete ni mjanja mjanja sana. Uwepo wa Samia ni mtaji kwa maendeleo yake binafsi!