PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
UTUKUFU WA MWISHO UTAKUWA MKUBWA KULIKO WA KWANZA HALIKADHALIKA UHARIBUFU WA MWISHO UTAKUWA MKUBWA KULIKO WA KWANZA, ataendelea kuuza mali zetu, kauza bandari yetu, Ngorongoro kuna eneo kapewa mwarabu, viwanja vya ndege vitakuwa vya waraabu, ngoja tuone Mungu ndiye muamuzi wa yoteee
Kama ni Mali zenu zilianzia kuuzwa enzi za Mwinyi na Mkapa wakati wa ubinafsishaji na Sasa ni muendelezo tuu.

Mwisho kabla ya Mali zenu kuuzwa mlikuwa mnafaidikaje na Sasa mnapata hasara kiasi gani?

Kichwani umejaza udongo 😁😁👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DKMU9ljMZEy/?igsh=ZTBzcXVub3ltY200
 
Kwanza hawajiamini, kama wanaona wako sahihi na wanapendwa na watu kwa nn waendelee kumshikiria Lissu? Hawajiamini na utendaji kazi wao wananchi sasa hv tumeamka hatutaki ujinga
Kibaraka nyumbani kwake ni jela
 
Kikwete kasharudisha vyote alivyopokwa na magu na Faidaa juu.saivi anakula kwa mrijaa. Tena mitanzania tulivyo manyumbu tutaibiwa wajukuu zetu sijui tutakuwa tumewaachia urithi gani.

Kikwete aliuza raslimali kwa wachina(gas mtwara)
Huyuu mama ni mwendo wa kuuza kwa waarabu.
DENI linapaa.
Ufisadi ndo usiseme kila mtu anajilia urefu wa kamba.

NDUGAI ALISEMA NCHI ITAPIGWA MNADA.
warabu hawana habari na Tanzania, waache kununua UK na USA waje kununua huku kwenye watu wenye nuksi na wivu.
 
Hizo ajira ndio unaona zitawarejesha wakina mdude na kufuta machozi yao? Hizo ajira zitazuia kuuza mali za nchi kama bandari, hivi kwanza uko darasa la ngapi wee paka mapepe
Hao kina Mdude na wengine ndio wanazuia maisha ya mamiliono ya wengine kuendelea?

Kwani wako wapi hao watu wenu?
 
Hao kina Mdude na wengine ndio wanazuia maisha ya mamiliono ya wengine kuendelea?

Kwani wako wapi hao watu wenu?
Unajitoa ufahamu nyau wewe, mmewaua watu wa watu unakuja kubwabwaja hapa, warudisheni kina soka,
 
Hao kina Mdude na wengine ndio wanazuia maisha ya mamiliono ya wengine kuendelea?

Kwani wako wapi hao watu wenu?
Acha roho ya kikatili nyau wewe, kwa hiyo kina mdude kina soka unafurahia kuona familia zao zikiteseka, huu mwaka Mungu lazima aanze kuwafyeka kwa kumwaga damu za watu
 
Acha roho ya kikatili nyau wewe, kwa hiyo kina mdude kina soka unafurahia kuona familia zao zikiteseka, huu mwaka Mungu lazima aanze kuwafyeka kwa kumwaga damu za watu
Kila mtu ana wajibu wa kutii sheria bila shuruti na akuheshimu mamlaka kinyume chake ndio hayo ambayo mnajua hatari yake ila mnaleta dharau na hamna Nguvu ya kushindana na wenye Nguvu.

Mwenye Nguvu mpishe hawakukosea.
 
Kikwete sio mtu wa kuaminika hata kidogo.
Awamu yake ufisadi ulitamalaki (ie Escraw na vitalu vya Gas)
AWamu yake hakukuwa na ubunifu wowote wala jema aliloacha!
Bora angewaachia wazee wakweli kama akina Warioba, Butiku na ULimwengu,
 
Kabisaa
 
Back
Top Bottom