PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Labda utekaji na mauaji zaidi anamaanisha huyu mzee
 
Hivyo vituo vina madawa, na je hao waganga waliopo hapo ni waganga kweli au vishoka tu wa Kizimkazi?
Kabla ya kuuliza kama vina madawa lazima ujue kwamba Huduma za Afya hazitolewi chini ya mti, miundombinu kwanza.
 
Kwani alishawahi kuchaguliwa mpaka achaguliwe tena?
 
Back
Top Bottom