SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Mwenye "D" angalau moja tena ya Nursery lakini English Medium,, keshajua "CODE" zilizotumika:
- "Taifa" - Itakuwa ushajua hili Taifa liko wapi au ni akina nani
- "Maendeleo" - Itakuwa ushajua hayo maendeleo ni yapi..
- Na itakuwa unajua kwanini Mzee kasema hivyo