PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jamani huyu mzee mnamlisha maneno au anazungumza mwenyewe...amezeeka yule hafai kuendelea kutoa kauli kama hizi kwa nchi yetu
 
Kwa nini ni Bure? Kwamba ukizeeka hutakiwi kusema Samia analeta maendeleo?

Chadomo mna shida sana ya Afya ya akili,haya sio maendeleo aliyoyassma JK? 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DK-ZFb5t9jd/?igsh=MWo5dzB0Z29zYWZsYw==

Mm sijaona🤪, naona tu maneno mengi. Ukizeeka maarifa hupungua

Kuzindua??...hizo hafla ndizo anaweza. Vitu vya msingi hawezi
 
Kwa nini ni Bure? Kwamba ukizeeka hutakiwi kusema Samia analeta maendeleo?

Chadomo mna shida sana ya Afya ya akili,haya sio maendeleo aliyoyassma JK? 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DK-ZFb5t9jd/?igsh=MWo5dzB0Z29zYWZsYw==

Tatizo lako Mjinga Unapewa Tokenism unasema maendeleo unajua alikopa kiasi gani na nimwaka gani alikopa hizo ela ?? Tatzo ukiwa chawa hufikri tena
Leo wafanya biashara wameongezewa kodi ya Kifalaa Unasema Maendeleo.. nchi Haina Haki unasema maendeleo You must be the dumbest mafaka i seen in my damn life You actually a true meaning of a Fool
 
HATUKUMBUKI MAPOLICE WA HITLER TUNAMKUMBUKA HITLER... HATA AFANYE JEMA LIPI KAMA KATIBA KWAKE NI KITABU HAKUNA MAENDELEO KAKULETEA HIZO NI PLAN ZA KWANZIA AWAMU YA MAGUFULI HANA PLAN MPYA YOYOTE YA MAANA ZAIDI YA KUTOKUKEMEA UHARIBIFU WA HAKI NCHI FALA WEWE PIMBI HUNA COMMON SENSE
 
Back
Top Bottom