PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Majengo yapi hayana dawa? Au unaropoka tuu kisa chuki zako?
Vijana wa Kizimkazi bwana, sijuwi wataelimika lini hawa. Awali niliuliza kwa nia nzuri tu kwamba je hizo clinic (zahanati) zina madawa kweli? Kumbuka, nimekuuliza swali la maana hapa, wewe umejibu vipi baada ya kuulizwa?
 
Screenshot_20250603-144016.jpg
Screenshot_20250603-143812.jpg
 
Back
Top Bottom