PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maendeleo yana tafsiri pana kulingana na nyakati,rasilimali zilizotumika, uwezo wa kujitegemea nk.
 
Hapo cha ajabu ni kipi? Na wewe tafuta mtu wako wa kukusaidia Kupitisha michongo, vinginevyo utazeeshwa na chuki haraka sana.
Mimi sio fisadi kama hao maboss wako!! Nyie mnaambulia makombo tu!
Mimi Sina stress za hao wezi,Ndio maana wanazeeka haraka; umemuona mkwere alivyosinyaa siku hizi? Bibi Kizimkazi nae siku hizi anatembea kama kobe !
 
Kikwete;
Ile gas yetu ya Mtwara bado tunakudai kwa namna mikataba ile ya ajabu ilivyoharibu ustaw wetu.
Zile fedha za Escraw ulizoruhusu 'kugawana' bado zinatuuma mno mno!
Kikwete bahati yake alivuruga rasimu ya Katiba ya Warioba. Ile Katiba ingepitishwa na ule Ufisadi alioufanya na Home Shopping Centre ( state capture) ; ni lazima angeshitakiwa kama alivyoshtakiwa Jacob Zuma kule South Africa. Ule ulikuwa wizi wa kutisha!
 
Kikwete kasharudisha vyote alivyopokwa na magu na Faidaa juu.saivi anakula kwa mrijaa. Tena mitanzania tulivyo manyumbu tutaibiwa wajukuu zetu sijui tutakuwa tumewaachia urithi gani.

Kikwete aliuza raslimali kwa wachina(gas mtwara)
Huyuu mama ni mwendo wa kuuza kwa waarabu.
DENI linapaa.
Ufisadi ndo usiseme kila mtu anajilia urefu wa kamba.

NDUGAI ALISEMA NCHI ITAPIGWA MNADA.
Umeongea ukweli sana! Ila nani atakuelewa? Nchi hii ina wapuuzi wengi sana! Uliemtaja ndio adui mkubwa wa watz, anacheka TU ila ni hovyo sana!
 
Wenye hela Wana stress na wewe mwenye njaa nini kinakutoa povu?

Jadili maendeleo ya Samia kama haya

View: https://x.com/JafferMahmud/status/1911759813303808451?t=oYlHLqkZhmx7_BX5YWZpWg&s=19

Rais yupi mwingine Aliwahi wakomboa mabinti?

I have no problem na kuwajengea mabinti hiyo miundombinu, tatizo liko kwenye kiasi cha fedha zilizotumika na quality ya hayo majengo!!
Majengo ubora wake haulingani na hizo shillingi Bill. 106 .6 zilizolipwa
Kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya Samia.
 
Upigaji gani?
 
Upigaji gani?
Wizi mnaofanya na mama Abdul huko Ikulu!! Mfano wewe umeajiliwa Juzi Juzi tu umeisha jengo hekalu ; kwa mshahara gani unaolipwa kama sio wizi?
Hao maboss wako unasema wana hela lazima wawe na stress kwasababu hela zao ni za wizi! Mimi povu linanitoka kwasababu wizi wao ndio sababu ya mimi kuwa maskini.
 
Aseme wazi yeye ataendelea kuiba mali za umma bila usumbufu wowote, kuna mikataba ya kijinga aliingia kwenye utawala wake anaendelea kuvuta rushwa bila shida.
 
Kikwete kasharudisha vyote alivyopokwa na magu na Faidaa juu.saivi anakula kwa mrijaa. Tena mitanzania tulivyo manyumbu tutaibiwa wajukuu zetu sijui tutakuwa tumewaachia urithi gani.

Kikwete aliuza raslimali kwa wachina(gas mtwara)
Huyuu mama ni mwendo wa kuuza kwa waarabu.
DENI linapaa.
Ufisadi ndo usiseme kila mtu anajilia urefu wa kamba.

NDUGAI ALISEMA NCHI ITAPIGWA MNADA.
Familia ake nzima ipo kwenye system inaiba usiku na mchana, yeye aliingia mikataba ya kijinga na kitapeli imerudishwa yote hivyo anaiba anavyotaka bila kusumbuliwa.
 
Back
Top Bottom