Jakaya Kikwete: Ukitaka Nchi Itulie Kamata Wazee

Nguvu ya Mamba kumayi !
Akishatoka nje ya maji hamna kitu !
Rejea kipindi kile 😳 !
Katiba mpya bora ni muhimu sana 🙏🙏
 
zama na zama zake...wazee wengi wa sasa ndo wahuni wa zamani..enzi hzo ukikaa na mzee kweli unapata kitu,, lakini kwasasa wazee wengi ni viboko ya wachawi.
 
vipi yeye
wenzake hawana
mipango ya
kumu-eliminate
Nasikia sikia lakini anadunda tu!

Kama ana backups Toka kwa kina obama ni ngumu kidogo!
Ngoja tuone kama chura atamuweza!!

SI unasikia juzi juzi kasema eti "Ili patulie ahusishe wazee" labda wazee ni yeye au!!?
 
wacha tuone,
muda utasema,
ukiwakera watu,
wakitaka jambo lao,
ngumu kuzuia,
hata uwe na,
backup ya nani.
 
Wazee wenyewe ni hawa waliofisadi nchi Mzee au kuna wengine?
Ni wale wa Escraw?
Ni wale waliogawana vitalu vyetu vya gas?
Sio kila mzee ni wa kukamata msitudanganye!
 
Wazee wenyewe ni hawa waliofisadi nchi Mzee au kuna wengine?
Ni wale wa Escraw?
Ni wale waliogawana vitalu vyetu vya gas?
Sio kila mzee ni wa kukamata msitudanganye!
Wazee waadilifu huwa wanapigwa teke na kuwadhalilisha ila Wazee mafisadi ndio hukumbatiwa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…