Unfortunately tunatofautiana jijsi ya kumtathmni Jiwe..
Binafsi sina shida na kuwanyoosha wapinzani bali Nina shida na handling yake ya Uchumi na biashara..
Kama ni kuwanyoosha wapinzani Nchi karibu zote za Afrika zinawashughulikia na Uchumi unaenda vizuri..
Ila kipindi cha Jiwe sasa ndio kipindi Uchumi wa Nchi uliporomoka, wafanyabiashara waliacha kuwekeza pesa Kwa kuhofia kuporwa, investors walikimbia na sekta nyingi zilikufa kama real estates,ukandarasi, biashara,ajira hakuna,machinga kila sehemu nk..
Jiwe alibakia anategemea bandari ya Dar,mikopo na dhahabu huku akiwa na migogoro na Majirani,jumuiya ya Kimataifa na ndani..
Kwa mazingira haya Jiwe alikuwa ni one of the useless and failures president tuliyewahi kupata..
Vipaombele vyake ilikuwa ni mambo yasiyo zalisha na yasiyo na maana kwenye uchumi na yaliyolenga kupata pesa za upigaji..
Jiwe Kwa kutambua kwamba amefirisika alilazimu aanze mchakato wa kubadili Katiba kwa visingizio vya miradi kuachwa yeye akifa kumbe ni excuse ya failures..
Yaani Jiwe angeendelea kuwa Rais na alivyokuwa na kiburi Leo hii Tanzania ingeshasambaratika kiuchumi kama Zambabwe na lawama kama kawaida zingeenda kwa wapinzani na mabeberu 😁😁..
Kifo cha Jiwe kilikuwa ni kuliokoa Taifa vinginevyo Tungesaga meno na gungekimbia Nchi..