Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Unajichekesha tu ila nimekubutua na huyo KIBAKA WAKO KIKWETE.

Yes indeed, nashughulika nae mtandaoni kwa kumbagaza na kumshushua. Na kumtusi pia.

INAKUCHOMA. Ati jasusi ... nyokoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda jasusi wa ufisadi na uporaji wa rasilimali zetu.

Mwizi wa kawaida sana yule. Hana ujasusi wowote.
We kweli huna akili unakimbizana na upepo sio! kwa comment hii tuu nimekushusha hadi zaid ya mavi maana bora mavi yanarutubisha mimea sio wewe 😆😆😆😆😆😆😆
 
We kweli huna akili unakimbizana na upepo sio! kwa comment hii tuu nimekushusha hadi zaid ya mavi maana bora mavi yanarutubisha mimea sio wewe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kibaka Kikwete anastahili kutukanwa masaa 24 siku saba za wiki.

Ni raha kulitusi jizi. Napenda sana.
 
Hayo mapendekezo yalipelekwa lini na serikali bungeni? Mlimtuma jamaa yenu nkamia kubwatuka bungeni, leo mnamsingizia marehemu, majambazi yanaua yanasema Mungu fundi
 
Weye mwandishi swali gani hilo unauliza bana??? mkitukanwa oooh!! ame-panic........Jiwe!! lile jamaa shamba sana ndo tatizo ya Damu za watoto wa Makabwera! ...tamaaa za kijima tuuu!!

sasa tunataka Royal Family tuuu!! Kikwete aligombea Mihula mitatu! bado akateuliwa tuuu agombee!! mpaka leo huyu Mzee akitaka gombea anapata.......lkn katiba!...jiwe Rais mgonjwa Africa!
 
Sawa, sasa kama alifanya mambo mazuri ya maendeleo yanayukubaliwa na Wananchi, alikuwa na hofu gani hata akafikiri kujiongezea muda na kuwanyamizisha vyama siasa kwa mtutu.

Na hata uchaguzi ulipofika alitumia nguvu nyingi kununua wapinzani, kutisha watu kufunga watu na wengine kupigwa risasi.
Umueke Lisu utegeme kumtoa Magufuli? Magifuli alikua na nguvu ya umma.. Chadema ilishindwa uchaguzi kihalali ondoa fikra zako potofu.. Lisu isn't good enough to be a president.
 
Huyo mzee hakutumwa na jiwe, yeye mwenyewe alisema aliropoka ili kujipendekeza maana jiwe alikuwa anamshughulikia
Unakuwa mwepesi kuamini ujinga kama huyo wa Ngamia? Kweli watu tunatofautiana. Yaani kweli uliamini aliposema alikuwa anaropoka ili asishughulikiwe? Ni Tanzania tu ndiko mtu anaweza kusema ujinga kama huu na watu wakamwamini badala ya kumtimua.
 
Unakuwa mwepesi kuamini ujinga kama huyo wa Ngamia? Kweli watu tunatofautiana. Yaani kweli uliamini aliposema alikuwa anaropoka ili asishughulikiwe? Ni Tanzania tu ndiko mtu anaweza kusema ujinga kama huu na watu wakamwamini badala ya kumtimua.
Alikuwa na sababu gani ya kudanganya ?, Atimuliwe vipi wakati hata mwenyekiti wake yupo hivo hivo muongo muongo
 
Umueke Lisu utegeme kumtoa Magufuli? Magifuli alikua na nguvu ya umma.. Chadema ilishindwa uchaguzi kihalali ondoa fikra zako potofu.. Lisu isn't good enough to be a president

Umueke Lisu utegeme kumtoa Magufuli? Magifuli alikua na nguvu ya umma.. Chadema ilishindwa uchaguzi kihalali ondoa fikra zako potofu.. Lisu isn't good enough to be a president.
Hapa ndipo anapoibua maswali zaidi, kama alikuwa anakubalika na hamuogopi Lissu ilikuwaje akatandikwa risasi zote zile?

Ok hata kama siyo Lissu mbona vyama vya siasa vilinyimwa haki kisheria ya kujiimarisha,

na vipi kuhusu kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani woga huu ulikuwa wa nini kama alikuwa anakubalika na amewagusa wananachi?
 
Back
Top Bottom