Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,969
- 7,137
Yote kayataka Pole pole na britanicca mzee Kikwete anapigwa mikwara kichizi yani 😂 mtamuua kwa pressure
Sio huyo mama ndio ajitenge na JK??
Alimzidi kusema Samuya badala ya Samia😃😆😆Mtu hata kuandika haujui,unakujae pamoja na mtu aliyekuzidi kila kitu.!
Jifunze kuandika kwanzaa.
Mm nikadhani ni RidhiwaniLabda ni abdulahim knn sasa kwanini asiweze kumwita kaka?
Jk hawezi kujitenga na Samia kwa kuwa wamezaa,... AbdulJK angejitenga na huyu mama
I thought so too, huyo mama huenda wala sio nyoka...mzee baba ndio koboko!!Sio huyo mama ndio ajitenge na JK??