Jakaya Mrisho Kikwete kutoka kua kipenzi cha watanzania mpaka kuonekana adui yao

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.
 
Attachments

  • 0efb9b71490612cd4f86672411622323_1788805367369.mp4
    2.3 MB

Huyo mzee bado anayo nafasi ya kusambaratisha mtandao na kureset mambo au kuyaset upya
 
Kuna ile kauli Magufuli aliwahi kuitoa kwa mawaziri, kuhusu kuvuta Bangi!!!
Jk lazima itakuwa alijaribu nae kuivuta, na matokeo yake ndio haya!
 
Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.
ok.🐒
 
Ni kipindi cha uongozi wake watu waliogopa hata kuvaa manguo yao ya kijani mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana kwa ccm. Nakumbuka makamu wa rais Ghalibu Bilal alifanya ziara mkoa fulani, ilikuwa aibu kwa zomea zomea aliyokutana nayo.

Mawaziri nao kuna mwaka walifanya ziara ya kuitetea bajeti mikoani, kitu ambacho hakikuwahi kutokea nyuma. Nakumbuka kwenye ziara hizo chenge alikumbana na kipindi kigumu sana, wakati huo akiwa waziri wa miundombinu.

Ni Magufuli kidogo aliyekuja kuipa lifeline ccm.
 
Uko sawa kabisa
 
Kitu kimoja kikubwa ninacho mpendea Kikwete,Yeye na Nyerere ndio Marais pekee Uraisi wao waliupigania haukuja kwa njia ya samahani kama akina Mwinyi,Mkapa,Magufuli na Samia.

Aidha,ndio maraisi pekee waliopendwa kwenye CCM kuliko wote,kwa kuwa wamekulia huko CCM.Kitu kimoja Kikwete alimucha Nyerere ni kwenye muda wa uongozi-Nyerere aliongoza kwa miaka 25,ilihali Kikwete tayari kashaifikisha na ataongoza 20 years to come.
 
Ni kipindi cha uongozi wake watu waliogopa hata kuvaa manguo yao ya kijani mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana kwa ccm. Nakumbuka makamu wa rais Ghalibu Bilal alifanya ziara mkoa fulani, ilikuwa aibu kwa zomea zomea aliyokutana nayo.

Mawaziri nao kuna mwaka walifanya ziara ya kuitetea bajeti mikoani, kitu ambacho hakikuwahi kutokea nyuma. Nakumbuka kwenye ziara hizo chenge alikumbana na kipindi kigumu sana, wakati huo akiwa waziri wa miundombinu.

Ni Magufuli kidogo aliyekuja kuipa lifeline ccm.
Magufuli ndio aliua CCM,maana hiyo lifeline ilikuwa ni kwa njia ya mkono wa chuma-at the end unaua chama.Muda unaenda miaka ina songa na mambo yanabadilika huwezi kuwa corner watu miaka yote ipo siku utashindwa

Kwa hatua ilipofikia Chama Changu cha CCM,lazima kutafutwe modality nzuri ya kubaki kwenye power bila force na hapo ndio kwenye kazi.
 
Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.
Kwa kweli katika kipindi chake, demokrasia ilikuwa vizuri sana!
 
Huyu msenge si ndio alimteja na kumng'oa meno Dr ulimboka? Si ndio aliwaua akina Daud Mwangosi? Si ndio aliwamwagia tindikali wafanyakazi wa Mwanahalisi?
Watu wengi hawajui mambo yote maovu yalianzia katika utawala wake baadaye ukaja kuendelezwa kwa waliomfuatia kwa sababu Chama kilishakuwa taaban kipindi chake !
 
Back
Top Bottom