Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
Sidhani Wazenji wamejipanga maana huu ulikuwa mkakati wa long time agoHuyo mzee bado anayo nafasi ya kusambaratisha mtandao na kureset mambo au kuyaset upya
Sidhani Wazenji wamejipanga maana huu ulikuwa mkakati wa long time agoHuyo mzee bado anayo nafasi ya kusambaratisha mtandao na kureset mambo au kuyaset upya
Wakati John Mnyika anasema Kikwete alikuwa Rais dhaifu, wewe ulikuwa wapi ?Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.
Huwa nashangaa wanapompa maua wanatumia vigezo gani.Huyu msenge si ndio alimteja na kumng'oa meno Dr ulimboka? Si ndio aliwaua akina Daud Mwangosi? Si ndio aliwamwagia tindikali wafanyakazi wa Mwanahalisi?
Kwa kweli katika kipindi chake, demokrasia ilikuwa vizuri sana!
Kitu kimoja kikubwa ninacho mpendea Kikwete,Yeye na Nyerere ndio Marais pekee Uraisi wao waliupigania haukuja kwa njia ya samahani kama akina Mwinyi,Mkapa,Magufuli na Samia.
Aidha,ndio maraisi pekee waliopendwa kwenye CCM kuliko wote,kwa kuwa wamekulia huko CCM.Kitu kimoja Kikwete alimucha Nyerere ni kwenye muda wa uongozi-Nyerere aliongoza kwa miaka 25,ilihali Kikwete tayari kashaifikisha na ataongoza 20 years to come.
Magufuli ndio aliua CCM,maana hiyo lifeline ilikuwa ni kwa njia ya mkono wa chuma-at the end unaua chama.Muda unaenda miaka ina songa na mambo yanabadilika huwezi kuwa corner watu miaka yote ipo siku utashindwa
Kwa hatua ilipofikia Chama Changu cha CCM,lazima kutafutwe modality nzuri ya kubaki kwenye power bila force na hapo ndio kwenye kazi.
Yeye ndio angalau aliifufua wakati walikuwa wanaogopa hata kuvaa mashati na kapelo za Chama 😀 !Sio kweli nakataa
Hata aliyempiga risasi Tundu Lissu ni Kikwete akishirikiana na Mbowe na Bashite, kikwete pia aliwahi kumsaidia Mbowe kumuua Chacha Wangwe kupitia kijana mmoja anaitwa Deus Mallya.Watu wengi hawajui mambo yote maovu yalianzia katika utawala wake baadaye ukaja kuendelezwa kwa waliomfuatia kwa sababu Chama kilishakuwa taaban kipindi chake !
Huyo akifa ndio Tanzania yetu itatulia.Kitu kimoja kikubwa ninacho mpendea Kikwete,Yeye na Nyerere ndio Marais pekee Uraisi wao waliupigania haukuja kwa njia ya samahani kama akina Mwinyi,Mkapa,Magufuli na Samia.
Aidha,ndio maraisi pekee waliopendwa kwenye CCM kuliko wote,kwa kuwa wamekulia huko CCM.Kitu kimoja Kikwete alimucha Nyerere ni kwenye muda wa uongozi-Nyerere aliongoza kwa miaka 25,ilihali Kikwete tayari kashaifikisha na ataongoza 20 years to come.
Watanzania gani unaowasema wewe? Mfano Mimi niwe adui na Jakaya Kwa lipi? Nimekosa kazi ya kufanya?Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.
Kikwete ni nyie tu hamkumjua, lakini waliomjua muda nrefu wakishawaambia kama mnampenda tabasamu lake nendeni kanyweni naye chai.Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.