Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.
Huyo mzee bado anayo nafasi ya kusambaratisha mtandao na kureset mambo au kuyaset upyaHuyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.
ok.🐒Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.
Ni kipindi cha uongozi wake watu waliogopa hata kuvaa manguo yao ya kijani mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana kwa ccm. Nakumbuka makamu wa rais Ghalibu Bilal alifanya ziara mkoa fulani, ilikuwa aibu kwa zomea zomea aliyokutana nayo.
Mawaziri nao kuna mwaka walifanya ziara ya kuitetea bajeti mikoani, kitu ambacho hakikuwahi kutokea nyuma. Nakumbuka kwenye ziara hizo chenge alikumbana na kipindi kigumu sana, wakati huo akiwa waziri wa miundombinu.
Ni Magufuli kidogo aliyekuja kuipa lifeline ccm.
Kwenye ziara.Yuko tabora
Magufuli ndio aliua CCM,maana hiyo lifeline ilikuwa ni kwa njia ya mkono wa chuma-at the end unaua chama.Muda unaenda miaka ina songa na mambo yanabadilika huwezi kuwa corner watu miaka yote ipo siku utashindwaNi kipindi cha uongozi wake watu waliogopa hata kuvaa manguo yao ya kijani mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana kwa ccm. Nakumbuka makamu wa rais Ghalibu Bilal alifanya ziara mkoa fulani, ilikuwa aibu kwa zomea zomea aliyokutana nayo.
Mawaziri nao kuna mwaka walifanya ziara ya kuitetea bajeti mikoani, kitu ambacho hakikuwahi kutokea nyuma. Nakumbuka kwenye ziara hizo chenge alikumbana na kipindi kigumu sana, wakati huo akiwa waziri wa miundombinu.
Ni Magufuli kidogo aliyekuja kuipa lifeline ccm.
Miaka mitano Magufuli hayupo, ccm leo in uhai?Magufuli ndio aliua CCM,maana hiyo lifeline ilikuwa ni kwa njia ya mkono wa chuma-at the end unaua chama.Muda unaenda miaka ina songa na mambo yanabadilika huwezi kuwa corner watu miaka yote ipo siku utashindwa
Kwa kweli katika kipindi chake, demokrasia ilikuwa vizuri sana!Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee ndo alisema hoja haipigwi rungu huyu ndo alisema CCM hisitegemee vyombo vya dola. Huyu mzee kipindi cha Uongozi wake ndo Wakandarasi walipata pesa na kulipwa kwa wakati mikopo vyuo vikuu ajira mambo mengi democrasia. Ghafla mara jina lake halina mvuto tena kwa watanzania ukimya wake kuhusu mauaji ya October 29 na tabia za utekaji na mauaji alafu yeye kama Rais mstaafu mwana democrasia kua kimya inatia mashaka sana. Amekua anahusishwa na matukio yote mabaya yanayoendelea Tanzania japokua yeye yupo kimya na kupelekea mara nyingi kuzushiwa kifo na kugeuka adui namba moja wa watanzania japokua sio wote wanaomchukia. Sifa moja ya huyu mzee ukipata bahati ya kukutana nae una tatizo basi jua tatizo lako limepata ufumbunzi.
Huyu msenge si ndio alimteka na kumng'oa meno Dr ulimboka? Si ndio aliwaua akina Daud Mwangosi? Si ndio aliwamwagia tindikali wafanyakazi wa Mwanahalisi?Kwa kweli katika kipindi chake, demokrasia ilikuwa vizuri sana!
Duuh!Huyu msenge si ndio alimteja na kumng'oa meno Dr ulimboka? Si ndio aliwaua akina Daud Mwangosi? Si ndio aliwamwagia tindikali wafanyakazi wa Mwanahalisi?
Watu wengi hawajui mambo yote maovu yalianzia katika utawala wake baadaye ukaja kuendelezwa kwa waliomfuatia kwa sababu Chama kilishakuwa taaban kipindi chake !Huyu msenge si ndio alimteja na kumng'oa meno Dr ulimboka? Si ndio aliwaua akina Daud Mwangosi? Si ndio aliwamwagia tindikali wafanyakazi wa Mwanahalisi?