Jakaya Mrisho Kikwete kutoka kua kipenzi cha watanzania mpaka kuonekana adui yao

Wakati John Mnyika anasema Kikwete alikuwa Rais dhaifu, wewe ulikuwa wapi ?
 
Kwa kweli katika kipindi chake, demokrasia ilikuwa vizuri sana!

Ndiye aliyeanzisha utekaji na mauaji. Ndiye maana baada ya kumpachika nyumba ndogo yake madarakani, amehakikisha mauaji makubwa yanafanyika dhidi ya watanganyika. Uovu wote wa yule bibi yeye ndiye muamuzi na muelekezaji mkuu wa huo uovu wote.

Huyu alitaka aendelee kuwa Rais kupitia njia ya kumpachika madarakani asiye na uwezo ili yeye awe mwenye maumuzi ya mwisho.
 

Sema Kikwete kazini uhuni tu
 

Sio kweli nakataa
 
Watu wengi hawajui mambo yote maovu yalianzia katika utawala wake baadaye ukaja kuendelezwa kwa waliomfuatia kwa sababu Chama kilishakuwa taaban kipindi chake !
Hata aliyempiga risasi Tundu Lissu ni Kikwete akishirikiana na Mbowe na Bashite, kikwete pia aliwahi kumsaidia Mbowe kumuua Chacha Wangwe kupitia kijana mmoja anaitwa Deus Mallya.
 
Kuna kitu cha ajabu sana ntawafunza leo ,watu wengi wanaochukiwa wao huwa hawajui kabisa ,ndo maana hata Magu ameondoka akidhan anapendwa
 
Huyo akifa ndio Tanzania yetu itatulia.
 
Watanzania gani unaowasema wewe? Mfano Mimi niwe adui na Jakaya Kwa lipi? Nimekosa kazi ya kufanya?
 
Kikwete ni nyie tu hamkumjua, lakini waliomjua muda nrefu wakishawaambia kama mnampenda tabasamu lake nendeni kanyweni naye chai.

Hamkuelewa somo, mkamng'ang'ania, leo mnalialia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…