Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Kwahyo hela alizokuwa anapata toka 2005 mpaka 2009 kwa miaka minne mfululizo alikuwa anakutumia wewe?kutoka hatua ya kwanza mwaka 2005 kwenda hatua ya pili mwaka 2009 lazima kuna mtu alimshika mkono kwa kumuongezea mtaji
Mtu mwenye metality kwamba kila mwenye mafanikio kashikwa mkono basi atakaa hivyo miaka yote akisubiri nayeye kushikwa mkonoMkuu sikupingi lakini jaribu kutambua na kuthamini juhudi za huyu jamaa kwanza.
Unakubali kwamba sio kila anaeshikwa mkono anafanikiwa?
Watu wangapi wamepewa kila kitu na wameishia kuleta fedheha?
Iwe itakavyokua, upambanaji wa jamaa umechangia kwa kiasi kikubwa sana kumfikisha hapo.
The same to meHuyo ndo hustler sasa. Hongera yake.
Duuh hongera yake aisee.
Kwelii Mkuu Information is power bila kua na taarifa sahihi za kitu unachofanya huwezi fika mbaliIli ufanikiwe unahitajika kufanya kitu sahihi na sehemu sahihi, na hapo inahtajika taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi.....hii itakufanya ukosee mara chache na ufike haraka unapopataka..other factors should remain costant eg, Juhudi, Bidii, uvumilivu, Ujuzi, ubunifu n.k.....najua hukunielewa
Kwelii Mkuu Information is power bila kua na taarifa sahihi za kitu unachofanya huwezi fika mbali
Nina kazi, ni mjasiriamali na nina Mume, nimpigie hesabu zipi na za nini?Kama nakuona unavompigia hesabu kali!
Hahahahaa nimecheka sanaWakati anaanza biashara wengine ndio wanamaliza kidato cha nne,Ndani ya 13years amefika hapo.Wakati huo aliyemaliza form4 kipindi hicho bado anatembeza bahasha au anakula take home 400k.Maisha hayana formula
Upo sahihi kabisaa mkuuInformation is just a potential mkuu, right actions is what makes the different between winners and failures.
Mleta uzi tunaomba utusaidie kitu kimoja apa inaweza kua ni very good lesson kwa watu wanaoamini lazima ushikwe mkono ndo unyanyuke
Nina kazi, ni mjasiriamali na nina Mume, nimpigie hesabu zipi na za nini?