Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Congrats buddy..watu kama wewe tumebaki wachache sana humu dunian
 
Mkuu sikupingi lakini jaribu kutambua na kuthamini juhudi za huyu jamaa kwanza.

Unakubali kwamba sio kila anaeshikwa mkono anafanikiwa?
Watu wangapi wamepewa kila kitu na wameishia kuleta fedheha?

Iwe itakavyokua, upambanaji wa jamaa umechangia kwa kiasi kikubwa sana kumfikisha hapo.
Mtu mwenye metality kwamba kila mwenye mafanikio kashikwa mkono basi atakaa hivyo miaka yote akisubiri nayeye kushikwa mkono
 
Nisaidieni kutafsiri hiyo namba ya simu ya whatsapp!
 
Anastahili pongezii kwa kweli huo ndo uthubutu. I can I must I will

Inaonekana jamaa alikua na nidhamu ya matumizi ya hali ya juu.

Watu wana comment huwezu kutoboa bila Connection mie nakataa inawezekana sanaa tuu ni commitment na nidhamu katika matumizi ndo zitakazo kufanya utoboee
 
Ili ufanikiwe unahitajika kufanya kitu sahihi na sehemu sahihi, na hapo inahtajika taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi.....hii itakufanya ukosee mara chache na ufike haraka unapopataka..other factors should remain costant eg, Juhudi, Bidii, uvumilivu, Ujuzi, ubunifu n.k.....najua hukunielewa
Kwelii Mkuu Information is power bila kua na taarifa sahihi za kitu unachofanya huwezi fika mbali
 
Hongera zake. Inahitaji discipline ya hali ya juu. Wengi wetu tukipata pesa hata lifestyle inabadilika matokeo yake matumizi yanakuwa makubwa zaidi.
 
Kweli bidii na uvumilivu na kufanya kazi/biashara kwa makini kunalipa...kama kaweza haya, wale tunaolalamika vyuma kukaza inakuaje?!
 
Anajaribu kutuaminisha nini katika biashara ya nguo?!! HONGERA KWAKE
 
Wakati anaanza biashara wengine ndio wanamaliza kidato cha nne,Ndani ya 13years amefika hapo.Wakati huo aliyemaliza form4 kipindi hicho bado anatembeza bahasha au anakula take home 400k.Maisha hayana formula
Hahahahaa nimecheka sana
 
Back
Top Bottom