Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Anaweza sana....
Nimemuona mtu pale Kimara akitoka kua mhudumu wa duka then akamiliki duka lake la 1 mwaka 2007 then la 2 mpk sasa ana magodauni kama 3 hivi,inshort kibongo bongo ni tajiri.

Ukiona mtu ananunua nyumba hizi za million 150 hata 3 kila mwaka,kibongo bongo jua yuko njema.

Na amefanikisha hayo yote kwa miaka isiyozidi 10 aisee.
 
Kwa staili ya mkuu lazima atoboe viatu kaanza kuvaa 2018!
 
Nimemuona mtu pale Kimara akitoka kua mhudumu wa duka then akamiliki duka lake la 1 mwaka 2007 then la 2 mpk sasa ana magodauni kama 3 hivi,inshort kibongo bongo ni tajiri.

Ukiona mtu ananunua nyumba hizi za million 150 hata 3 kila mwaka,kibongo bongo jua yuko njema.

Na amefanikisha hayo yote kwa miaka isiyozidi 10 aisee.
Siri ya mafanikio anaijua yeye..alivyohangaika , alipobustiwa mpak alipotokea...nani alikuwa anajua kama MO alipata mchongo toka serikalin kwamba serikali inabinafsisha viwanda na kuviuza pia....unajua mkapa alivyodhibiti bidhaa za nje ili kumpa soko jamaa, unajua jinsi alivyokuwa anakwepa kodi bandarini akiingiza malighafi akila mchongo na watumishi wa serikali....ili ufanikiwe unahitajika kupata taarifa sahihi ya kile unachokifanya kutoka kwa watu wazoefu na waliofanikiwa pia..watakupa mchongo namna mambo yanavyoenda.....watu wanafanya biashara ya vituo vya mafuta ila kuna watu wana machimbo yao na wanapata mafuta kwa kwa bei ya 500 liter...utaona tu mwenzako anasepa kibiashara we uatasingizia na uchawi...mafanikio ni zaidi ya kujibana, bidii na juhudi..unless kama unatafuta hela ya kula na kuwapeleka watoto shule..connection inabaki kuwa nguzo kuu ya kufika mbali ukiachilia mbali juhudi na kujituma...
 
Huyo jamaa ninayekwambia mimi ni mfano mzuri kwny maisha ya KiTanzania,ametoka kua muuza duka la mtu mpk kua hapo alipo sio bilionea lkn kibongo bongo yuko njema.

Unamuongelea MO aliyetoka familia ya kibilionea,mtu aliyepewa mtaji wa Tsh. 1bil na baba yake mzee Gullam mwaka 1999?wangapi tuna bahati hio kibongo bongo.

Though kuna mengi katika bandiko lako nayakubali ni ukweli kabisaa.
 
Machinga sio mtu aliyetoboa...ili kutoka kwenye umachinga mpak kuwa giant firm lazima uwe na connection....sorry nisijekuwa naongea na mtu aliyeajiliwa au mwenye kibanda cha Mpesa..mana nahs ntapoteza mda
Ni ngumu sana mtu kukuelewa hapo utakuta ni sekretari wa ofisi unafikiri atakuelewa?

Mtu anakwambia connection ni kwenye kuajiriwa tu, sasa mtu kama huyu hata ukeshe nae hawezi kukuelewa unamaanisha nn...
 
Ntakushirikisha subiri nipate nafasi...yaani changamoto ni nyingi kuliko kutoboa...[emoji48]. Mi nikiona mtu kafungua hata genge namnyooshea mikono. Yaani battle atazokuwa amepambana nazo sio ndogo.
Nakuelewa sana, karibu.
 
Kuonesha picha ni kujiuza tu, Njia alizotumia mpaka akapata hayo mafanikio anazifahamu mwenye. Mafanikio yana siri nyingi sana.
 
Machinga sio mtu aliyetoboa...ili kutoka kwenye umachinga mpak kuwa giant firm lazima uwe na connection....sorry nisijekuwa naongea na mtu aliyeajiliwa au mwenye kibanda cha Mpesa..mana nahs ntapoteza mda
Yaani mmachinga aliyeokoteza pesa kisha akafungua banda halafu akafungua duka baada ya miaka kadhaa ya kujinyima ndio tuseme alikua na hio "konekisheni" ??
 
Ni ngumu sana mtu kukuelewa hapo utakuta ni sekretari wa ofisi unafikiri atakuelewa?

Mtu anakwambia connection ni kwenye kuajiriwa tu, sasa mtu kama huyu hata ukeshe nae hawezi kukuelewa unamaanisha nn...
Jamani,jaman, Yani kuwa machinga na kujinyima kunahitaji konektioni? Na mnataka kutuaminisha eti sekeritari wa "ofishi" hawezi kuwa na noleji ya biashara?
 
Back
Top Bottom