Mkuu inawezekana kabisa ,kwa mbali naijua hii biashara ,kwa mtu mwenye maono anaweza! Kuna nguo Kariakoo zinauzwa mahali elfu 10,12,au 13 Ukienda madukani zinauzwa hadi 30! Kijana jasiri ,bahili mwenye Maono akitengeneza wateja watatu tu kwa siku kwa mwaka ...lazima atoke ! Na hili ni kadirio la chini kabisa!kwa hiyo kwa akili yako unataka kusema mwaka 2005 alipo kuwa machinga,amaefanya umachinga ndani ya miaka 3 awe na duka hapo juu kwenye picha namba 2?
Kumbuka chinga ,halipi kodi ,leseni wala pango a Biashara! Na anakoishi ...wanaweza wakawa wamepanga chumba cha elfu 20 ,au 30 watu wanne ! Unatarajia nini! ukizingatia hahongi ;akitaka kupoza anaenda kununua Kimboka kwa elfu Tano!