Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
watu wanaamini sana.katika connection
lkn uyu mwamba kapambana mwenyewe
si mnamuona from the scratch
chinga boy
alikua na malengo katika biashara yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia siamini katika connection .uthubutu watu hawana!