Anaweza sana....Kwani mkuu mtu mwenye kibanda cha mpesa hawezi kupambana mpk siku 1 akawa naye ni superdealer?
Connection ipo kwenye ajira tuu mzee, biashara hazina connection, yeye wakati akisave kila mwezi laki mbili mbili, wewe hiyo laki mbili unakunywa balimi na kuhonga ili upate papuchi izimue mkuu.Hujui unachokiongea...utaendelea kubaki hapo hapo ulipo
Nimemuona mtu pale Kimara akitoka kua mhudumu wa duka then akamiliki duka lake la 1 mwaka 2007 then la 2 mpk sasa ana magodauni kama 3 hivi,inshort kibongo bongo ni tajiri.Anaweza sana....
Kuna kitu nilikiona kwenye moja ya thread zako kilinikumbusha mbali na kufurahi kuna mtu alishakiwaza. Sema nilikatishwa tamaa. Ntakushirikisha...
Hahah ubahili ni muhimu kuelekea kwny utajiri kiongozi.Kwa staili ya mkuu lazima atoboe viatu kaanza kuvaa 2018!
Siri ya mafanikio anaijua yeye..alivyohangaika , alipobustiwa mpak alipotokea...nani alikuwa anajua kama MO alipata mchongo toka serikalin kwamba serikali inabinafsisha viwanda na kuviuza pia....unajua mkapa alivyodhibiti bidhaa za nje ili kumpa soko jamaa, unajua jinsi alivyokuwa anakwepa kodi bandarini akiingiza malighafi akila mchongo na watumishi wa serikali....ili ufanikiwe unahitajika kupata taarifa sahihi ya kile unachokifanya kutoka kwa watu wazoefu na waliofanikiwa pia..watakupa mchongo namna mambo yanavyoenda.....watu wanafanya biashara ya vituo vya mafuta ila kuna watu wana machimbo yao na wanapata mafuta kwa kwa bei ya 500 liter...utaona tu mwenzako anasepa kibiashara we uatasingizia na uchawi...mafanikio ni zaidi ya kujibana, bidii na juhudi..unless kama unatafuta hela ya kula na kuwapeleka watoto shule..connection inabaki kuwa nguzo kuu ya kufika mbali ukiachilia mbali juhudi na kujituma...Nimemuona mtu pale Kimara akitoka kua mhudumu wa duka then akamiliki duka lake la 1 mwaka 2007 then la 2 mpk sasa ana magodauni kama 3 hivi,inshort kibongo bongo ni tajiri.
Ukiona mtu ananunua nyumba hizi za million 150 hata 3 kila mwaka,kibongo bongo jua yuko njema.
Na amefanikisha hayo yote kwa miaka isiyozidi 10 aisee.
Huyo jamaa ninayekwambia mimi ni mfano mzuri kwny maisha ya KiTanzania,ametoka kua muuza duka la mtu mpk kua hapo alipo sio bilionea lkn kibongo bongo yuko njema.Siri ya mafanikio anaijua yeye..alivyohangaika , alipobustiwa mpak alipotokea...nani alikuwa anajua kama MO alipata mchongo toka serikalin kwamba serikali inabinafsisha viwanda na kuviuza pia....unajua mkapa alivyodhibiti bidhaa za nje ili kumpa soko jamaa, unajua jinsi alivyokuwa anakwepa kodi bandarini akiingiza malighafi akila mchongo na watumishi wa serikali....ili ufanikiwe unahitajika kupata taarifa sahihi ya kile unachokifanya kutoka kwa watu wazoefu na waliofanikiwa pia..watakupa mchongo namna mambo yanavyoenda.....watu wanafanya biashara ya vituo vya mafuta ila kuna watu wana machimbo yao na wanapata mafuta kwa kwa bei ya 500 liter...utaona tu mwenzako anasepa kibiashara we uatasingizia na uchawi...mafanikio ni zaidi ya kujibana, bidii na juhudi..unless kama unatafuta hela ya kula na kuwapeleka watoto shule..connection inabaki kuwa nguzo kuu ya kufika mbali ukiachilia mbali juhudi na kujituma...
Ntakushirikisha subiri nipate nafasi...yaani changamoto ni nyingi kuliko kutoboa...[emoji48]. Mi nikiona mtu kafungua hata genge namnyooshea mikono. Yaani battle atazokuwa amepambana nazo sio ndogo.Waaoh kipi Mkuu? Usikubali kukatishwa tamaa na mtu...Mungu akusimamie ufanikishe
Ni ngumu sana mtu kukuelewa hapo utakuta ni sekretari wa ofisi unafikiri atakuelewa?Machinga sio mtu aliyetoboa...ili kutoka kwenye umachinga mpak kuwa giant firm lazima uwe na connection....sorry nisijekuwa naongea na mtu aliyeajiliwa au mwenye kibanda cha Mpesa..mana nahs ntapoteza mda
Nakuelewa sana, karibu.Ntakushirikisha subiri nipate nafasi...yaani changamoto ni nyingi kuliko kutoboa...[emoji48]. Mi nikiona mtu kafungua hata genge namnyooshea mikono. Yaani battle atazokuwa amepambana nazo sio ndogo.
Yaani mmachinga aliyeokoteza pesa kisha akafungua banda halafu akafungua duka baada ya miaka kadhaa ya kujinyima ndio tuseme alikua na hio "konekisheni" ??Machinga sio mtu aliyetoboa...ili kutoka kwenye umachinga mpak kuwa giant firm lazima uwe na connection....sorry nisijekuwa naongea na mtu aliyeajiliwa au mwenye kibanda cha Mpesa..mana nahs ntapoteza mda
Jamani,jaman, Yani kuwa machinga na kujinyima kunahitaji konektioni? Na mnataka kutuaminisha eti sekeritari wa "ofishi" hawezi kuwa na noleji ya biashara?Ni ngumu sana mtu kukuelewa hapo utakuta ni sekretari wa ofisi unafikiri atakuelewa?
Mtu anakwambia connection ni kwenye kuajiriwa tu, sasa mtu kama huyu hata ukeshe nae hawezi kukuelewa unamaanisha nn...
[emoji121]