Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
watu wanaamini sana.katika connection
lkn uyu mwamba kapambana mwenyewe
si mnamuona from the scratch
chinga boy
alikua na malengo katika biashara yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili neno sijalielewa?lazima
Inaonekana wengi kwenye hii Thread hawajui maana ya "connection".Anastahili pongezii kwa kweli huo ndo uthubutu. I can I must I will
Inaonekana jamaa alikua na nidhamu ya matumizi ya hali ya juu.
Watu wana comment huwezu kutoboa bila Connection mie nakataa inawezekana sanaa tuu ni commitment na nidhamu katika matumizi ndo zitakazo kufanya utoboee
Inaonekana wengi kwenye hii Thread hawajui maana ya "connection".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli, Billigate tu anahitajika connection.Inaonekana wengi kwenye hii Thread hawajui maana ya "connection".
Sent using Jamii Forums mobile app
Say u[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahyo hela alizokuwa anapata toka 2005 mpaka 2009 kwa miaka minne mfululizo alikuwa anakutumia wewe?
Character za kikinga naomba niwasaidie wadau KWA ufafanuzi: 1. Hakuna kugegeda maana utamaliza pesa kwa kuhonga.1. DISCIPLINE
2. PERSISTANCE
character za KIKINGA lazima utoboe
Character za kikinga naomba niwasaidie wadau KWA ufafanuzi: 1. Hakuna kugegeda maana utamaliza pesa kwa kuhonga.
2. Mlo mmoja kwa siku na ikiwezekana vipande viwili vya muhogo wa kukaanga unashushia na maji ya moto.
3. Mavazi yako usizidishe zaidi ya suruali 3/ kaptula 3 na shati au T-shirt 3.
4. Biashara yako isiwe ya ukoo! Mfano wa biashara ya ukoo kila mwandugu aliekabika na tatizo wewe unakuwa kimbele mbele wa kumsaidia.
Nb. Kama kuna niliyoisahau unaweza kuongezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu alikuwa hahongi huyuHawakawi kusema kaachiwa urithi mana wabongo asilimia kubwa awasifia mafanikio ya mtu.
Bila connection hapa duniani huwez kutoboa...huwez jua wakat anaanza ni watu gan wa muhimu katika kupata taarifa walikuwa wamemzunguka...amekomaa na ameweza bigup
kutoka hatua ya kwanza mwaka 2005 kwenda hatua ya pili mwaka 2009 lazima kuna mtu alimshika mkono kwa kumuongezea mtaji
kwa hiyo kwa akili yako unataka kusema mwaka 2005 alipo kuwa machinga,amaefanya umachinga ndani ya miaka 3 awe na duka hapo juu kwenye picha namba 2?
Hatuna nidhamu ya pesa
Huyo jamaa alivyoanza utakuta alikua anajibana sana
Sisi tukipata 10,000 tunakula 8000
Unasave 2000
Utaendelea kweli?
connection ktk life ni muhim sana mkuu
mi binafsi kuna mamb nishaangaika nayo ila baada ya kupata connection fasta tu yame tiki