Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Bila connection hapa duniani huwez kutoboa...huwez jua wakat anaanza ni watu gan wa muhimu katika kupata taarifa walikuwa wamemzunguka...amekomaa na ameweza bigup
Napingana na wewe.Hivi kuwa machinga kunahitaji hio koneksheni? Ha ha ha ha..
 
Huwa ninaamini mafanikio ni matokeo ya mipango, juhudi na Nidhamu. Hata kwa huyo kijana naamini ndio njia aliyopitia.

Siamini kabisa katika kitu kinachoitwa Connection. Connection sio kitu halisi katika hali ya ujumla, ni sawa na kucheza bahati nasibu. Kiujumla hakipogo, na hata mara chache kinapotokea kwa baadhi ya watu bado kinaweza kisimvushe muhusika.
Connection ipo kwa kuanzia tu hata mtu akienda China kuchukua nguo akakubali kukubebea lobota moja ya nguo tofautitofauti, utasave gharama za usafiri kwenda China na obviously utarealize profit.

Mifano in mingi usikatae, wafanyabiashara lazima wategemeane bro
 
maskini ana connection gani?
tusiweke visingizio, kutoboa bila connection inawezekana
LUNGUMI alikuwa mpiga viatu rangi alikuwa maskini wa kutupwa kabebwa na familia ya Jk hadi alipo fikia, maskini usipo kuwa mjanja na kupata connection utakufa maskini na utazikwa na maskini wenzako
 
Napingana na wewe.Hivi kuwa machinga kunahitaji hio koneksheni? Ha ha ha ha..
Nahs hujanielewa au hujui maana ya neno connection katika utafutaj....ndo mana umecheka kinafki...
 
Ni kweli kabisa
Ndiyo maana wapo wenye mishahara ya daraja la chini lakini wanafanya maendeleo na wapo wenye kipato cha kati wanaishi kwa mikopo

Kusimamia kitu kimoja kunafanya kuwa mzoefu kwenye hilo eneo
Utazijua changamoto zake,matatizo na hata opportunities za hilo eneo
Wengi tunafanya hichi tunaacha ukiteleza kidogo unahama kabisa
kwahiyo na forex umehama
 
LUNGUMI alikuwa mpiga viatu rangi alikuwa maskini wa kutupwa kabebwa na familia ya Jk hadi alipo fikia, maskini usipo kuwa mjanja na kupata connection utakufa maskini na utazikwa na maskini wenzako
Waambie mkuu...Hata Diamond hajafika hapo peke yake...uwezo wa kutafta connection ndo uliomfikisha kwa kuwapata watu kama salam,wajuzi wa kutoboka nje...unaweza ukawa na kipaji bila connection utaishia kuimba bar....hakuna mtu anayefanikiwa mwenyewe lazima kuna chain nyuma ya pazia inayombeba kwa namna fulani hata tu kupata taarifa sahihi.ni cinnection tosha
 
Na kamshahara kako ka laki 4 kila weekend upo bar halafu unataka kutoboa, hata uende sumbawanga hutoboi hata kidogo [emoji3][emoji3]. Nidhamu ya pesa watu hatuna kabisa na ndo kinatufelisha hata hizo connection haziji kama umekaa kizembe ni mtu anaona hustles zako na anaamua kukuboost sababu anaona nia ndani yako.
So jamaa anastahili pongezi sana tu ni hatua kubwa kafika.
 
Nahs hujanielewa au hujui maana ya neno connection katika utafutaj....ndo mana umecheka kinafki...
Ninachokataa Mimi ni kuihusisha konekisheni kwenye kufanya umachinga! Ukisema kwa wasanii naweza kiasi nikakubali.Ila kwa biashara nyingi katika dunia hii,mafanikio yako ndani yako! Hilo neno konekisheni linadumaza vijana.
 
Machinga sio mtu aliyetoboa...ili kutoka kwenye umachinga mpak kuwa giant firm lazima uwe na connection....sorry nisijekuwa naongea na mtu aliyeajiliwa au mwenye kibanda cha Mpesa..mana nahs ntapoteza mda
 
Kwani mkuu mtu mwenye kibanda cha mpesa hawezi kupambana mpk siku 1 akawa naye ni superdealer?
 
Back
Top Bottom