Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Biashara ni sacrifices ndio la msingi.. ukishajua hapo lazima wasioamini wakatae / washangae..
Mkuu inawezekana kabisa ,kwa mbali naijua hii biashara ,kwa mtu mwenye maono anaweza! Kuna nguo Kariakoo zinauzwa mahali elfu 10,12,au 13 Ukienda madukani zinauzwa hadi 30! Kijana jasiri ,bahili mwenye Maono akitengeneza wateja watatu tu kwa siku kwa mwaka ...lazima atoke ! Na hili ni kadirio la chini kabisa!
Kumbuka chinga ,halipi kodi ,leseni wala pango a Biashara! Na anakoishi ...wanaweza wakawa wamepanga chumba cha elfu 20 ,au 30 watu wanne ! Unatarajia nini! ukizingatia hahongi ;akitaka kupoza anaenda kununua Kimboka kwa elfu Tano!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo kwa akili yako unataka kusema mwaka 2005 alipo kuwa machinga,amaefanya umachinga ndani ya miaka 3 awe na duka hapo juu kwenye picha namba 2?
Hata unapotafuta chumba cha kupanga unaweza pata Kwa connection......connection inatafutwa mkuu .pia unaweza kuwa na connection usiitumie.........create connection you want
 
hivi unauzofu na biashara za maduka usije kuongea kitu usichojua acha uvivu wa mawazo
Sasa mtu anafanyaje biashara bila kuwa na ushiirikiano na wengine? ......watu wanakimbimbia kusema connection bila Ku appreciate ,koneksheni zinatafytwa sometimes...
 
Sasa mtu anafanyaje biashara bila kuwa na ushiirikiano na wengine? ......watu wanakimbimbia kusema connection bila Ku appreciate ,koneksheni zinatafytwa sometimes...
duka kwa uzoefu wangu ndio issu zangu mcheki huyo jamaa namba 1-alikua anatembeza mzigo tena unaoneka ulikua mzigo mkubwa kwa kutembeza hapoa maana yake alikua anatafuta pesa apate fremu!anangalia namba 2 amepata fremu ya kawada kabisa ila inaoneka alichagua location ya kitaa kama manzese mbagala buguruni na sehemu yenye pilikapilaka kama hizo!hapo unapata jibu duka alihiitai mtaji mkubwa sana kama watu wa humu JF wanavyotafsiri au lazima duka liwe sinza kwa mtaji au kuanzia auwezi toboa kamwe.uchawi wa duka kulenga bidhaa za bei nafuu ila ziwe bora pili location ikiwa kubwa uza kwa bei poa unakusanya wateja wengi na faida kido ila biasha inazunguka akili za jf wengi ni kukatishana tamaa na wajuaiji njoo kasikazini tukupe siri a duka!
 
Wellsaid ,ni ndhamu na maarifa na uzoefu tu
 
Alichokifanya kijana huyo kwenye picha ni rahisi sana tena sana.

Ila tenga muda na utumie vizuri.
 
Ukiangalia dress codes , James anaonekana pia hasikilizi la mtu, picha ya nne ndo ameamua kuvaa Kiatu,
Ukitaka kufanikiwa punguza idadi ya marafuki pia au wapuuze wanachosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom