Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Huyo Wakili Msomi akijibu ilo swali nitagHii ni sheria ya Zambia ? Au sheria za Tanzania zinavuka mipaka ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh!Kuzidiwa2 mamiloo,no way out au chalii ni domo zege.
Usidhalilishe fani ya sheria we bwana mdogo!! Wewe endelea kupambana na mataputapu ya saizi yako!Kama umesoma Sheria mkuu kasome Article 130,sub article2 paragraph C,,Imeelezea Kufanya mapenzi na mtu ambae hayuko sawa kiakili au umemnywesha pombe au madawa adhabu yake ni prison for life au 30years..
Pumbavu sana wewe!Apo sheria zinatofautiana bro ndomaana kila nchi ina katiba yake,,but kwa Tz iko ivo sijui uko Zambia
Huyo ni mlevi tu, kanifanya nimejisikia aibu sana kusoma alichoandika!!Huyo Wakili Msomi akijibu ilo swali nitag
Tuambie wakili ukweli ni upi?Huyo ni mlevi tu, kanifanya nimejisikia aibu sana kusoma alichoandika!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunduchi beach kabisa.
Aisee yaishe mkuu
Sawa.Usidhalilishe fani ya sheria we bwana mdogo!! Wewe endelea kupambana na mataputapu ya saizi yako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna member aliweka mada Wanasheria ni watu wanao jisikia leo nimeamini.
Very very true,,Tuwaache kama walivo2.Kuna member aliweka mada Wanasheria ni watu wanao jisikia leo nimeamini.
Haha patano na kichaa !!?Mbona mwenyewe yuko happy tuu? Kama Walifanya patano hakuna shida
Jr[emoji769]
Sheria gani unayoizungumzia hapo?Wewe huwezi kuwa mwanasheria hata kufanya citation hujui!Kama umesoma Sheria mkuu kasome Article 130,sub article2 paragraph C,,Imeelezea Kufanya mapenzi na mtu ambae hayuko sawa kiakili au umemnywesha pombe au madawa adhabu yake ni prison for life au 30years..
Hahaa .Machizi nao wanahitaji faraja...fikiria huyo chizi anafurahia rungu analia kbs [emoji23][emoji23]
Ukiona chizi anamfurahia mtu mtaani ujue kuna jambo