Jamaa akamatwa kwa kufanya ngono na kichaa

Jamaa akamatwa kwa kufanya ngono na kichaa

Daahh jamaa mbahili yakuhonga.Ameona ajiponee kwa chizi.Hana gharama yakusuka,mavazi,chakula(kula jalalani),wala gharama ya vocha.Bila kusahau dawa ya meno na mswaki mana hapigi huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umesoma Sheria mkuu kasome Article 130,sub article2 paragraph C,,Imeelezea Kufanya mapenzi na mtu ambae hayuko sawa kiakili au umemnywesha pombe au madawa adhabu yake ni prison for life au 30years..
Usidhalilishe fani ya sheria we bwana mdogo!! Wewe endelea kupambana na mataputapu ya saizi yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona chizi mwenyewe analinda nyonyo zake kwa umakini wa hali ya juu sana zisionekane? Nadhani ndio wale machizi wanaoangalia kulia na kushoto kabla ya kuvuka barabara, tena kwenye zebra!

***Abhasubhi twemanye***
 
Kuna jamaa tulimuozesha mlemavu mkoa fulani...alikuwa anambeba kwny kiroba anaingia nae geto jioni anamtoa asubuhi
 
Kama umesoma Sheria mkuu kasome Article 130,sub article2 paragraph C,,Imeelezea Kufanya mapenzi na mtu ambae hayuko sawa kiakili au umemnywesha pombe au madawa adhabu yake ni prison for life au 30years..
Sheria gani unayoizungumzia hapo?Wewe huwezi kuwa mwanasheria hata kufanya citation hujui!

Acha kuharibu fani za watu
 
Back
Top Bottom