Jamaa alichokikuta Honeymoon hana furaha kabisa...

Bro hili gazette kauze buku hamna anasoma
Yeye hajalalamika usafi amelalamika upana
 
Tumeozesha majuzi tu

Sasa leo tunamwuliza bwana Harusi vipi honeymoon umeserereka mpaka mwisho?

Ila jamaa hana furaha kabisa

Ametutumia picha hii

View attachment 3144488
Vijana wa siku hizi hawana maadili kabisa! Utandawazi umekuwa shida kwa vijana wengi. Haya ni mambo ya ndani ww na mkeo usiyalete jamvini. Hapa hutapata msaada sana sana utachekwa tu hata na hao marafiki zako, kama huyu alivyo post hapa, kuonesha udhaifu wako wa ndani na mkeo. Haya ndiyo yanaitwa mambo ya chumbani. Fikiria, na mkeo akiweka mambo yako hadharani kama hivi, upo tayari kuyasikia/kuyapokea?
 
Bwana harusi ametueleza sisi mashangazi zake buana
Maadili kwiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…