Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
Hamna kabisakwani kwa wakristo ni ngapi?
Au moja basi
Amemtambulisha Mchumba wake akiwa ameweka Bleach Kichwani, wakwe wamemkataa, afanyaje?
Samahani Nimekuwa buzy naona kama napitwa Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan? Mbona kila mahali wanakataliwa? Nini mbaya nyiee? Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo acheni ushamba jamaa