Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Wazee wa kuoa vitu mitumba watapita kama hawajaona hapo bado sijaongelea mitumba yenyeweTumeozesha majuzi tu
Sasa leo tunamwuliza bwana Harusi vipi honeymoon umeserereka mpaka mwisho?
Ila jamaa hana furaha kabisa
Ametutumia picha hii
View attachment 3144488