JAMAA ALIEIBAA SIMU DUKANI KWA SURARAIYA , ASHAIRUDISHA, HAKUA NA NAMNA, CCTV MCHAWI

JAMAA ALIEIBAA SIMU DUKANI KWA SURARAIYA , ASHAIRUDISHA, HAKUA NA NAMNA, CCTV MCHAWI

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store.

Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu mwamba, akasepa walipo Rudi shop hawaoni simu, kupitia camera wakamuonea mdau ila hawamtambui.

Ikabidi video isambazwe mitandaoni, aloooo wana wakamfahamu jamaa ana ishi mwananyamala, na acc zake mitandaoni, wakazitaja, unaambiwa jamaa ni sponsor na ni shabiki wa SIMBA mana Kuna video kavaa JEZI ya SIMBA Yuko na demu wanakula bataa, kumbe pesa za wizi, baada ya detail za mwamba kusambaza mpaka hapo hakua na pakukimbilia mana watu wanapajua Hadi kwake hii mitandao hii, basi sasa hivi suraiya katangaza jamaa kashuasha silaha karudisha simu, kibaya yule dada aliekula nae Bata kudhalilika sana inaonekana ni timu Moja masikini mjini kueni makini na hela za Bure, asee
 
Back
Top Bottom