Jamaa alienda kwa mchungaji
kuungama...
"Nihurumie Mungu wangu,
nimetenda dhambi nyingi saana...
"Mchungaji: "Mwanangu, usihofu...
Mungu ni mwenye huruma saanaa
.Atakusamehe tu..."Jamaa:
"Mchungaji nimezini na wanawake
wengi sana hapa kanisani...."
Mchungaji: "Usihofu kabisa
mwanangu, utasamehewa tu... Ila
ili usamehewe vyema inabidi
uwataje na useme umezini nao
mara ngapi ili nao pia
tuwaombee..."
Jamaa: "Daaah, hapana
mchungaji... Naona aibu saana,
siwezi ongea..."
Mchungaji: "Owky, sawa basi..
Baada tu ya ibada kuisha tutatoka
lango kuu wote na ukimuona
yoyote uliyewahi zini naye we
sema 'ALELUYA'... Kama umezini
naye mara moja, utasema
'ALELUYA' mara moja... Kama ni
mara tatu hivyo hivyo..."
Wakakubaliana na ibada ilipokwisha
wote wakawa lango kuu la
kutokea...
Waumini walipoanza kutoka,
akapita mke wajirani yake
mmoja...
Jamaa: "ALELUYA, ALELUYA,
ALELUYA, ALELUYA,ALELUYA,
ALELUYA, ALELUYA....
Mchungaji: "Mungu akusafishe na
kukusamehe kabisa mara saba zote
mlizozini..."
punde akatoka mkee
wa mpiga kinanda
wa kanisa..
Jamaa.."HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
Mchungaji.."mungu awasamehe
kwa mara tatu zote mlizozini.....
Mara ghafla akawa
anatoka mke wa mchungaji hku
kashka
biblia.
Jamaa..."HALELUYA HALELUYA
HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
kabla hajamaliza mchungaji
akamuwesha bonge kofi
jamaa la uso huku akixema
mbwaaaaaaaaa shwetani mkubwa
na
mungu ackuxamehe
bali akufanye kuni na
tooooka nckuone kanisani kwangu
paaambavu mkubwa
kunguni wee
kuungama...
"Nihurumie Mungu wangu,
nimetenda dhambi nyingi saana...
"Mchungaji: "Mwanangu, usihofu...
Mungu ni mwenye huruma saanaa
.Atakusamehe tu..."Jamaa:
"Mchungaji nimezini na wanawake
wengi sana hapa kanisani...."
Mchungaji: "Usihofu kabisa
mwanangu, utasamehewa tu... Ila
ili usamehewe vyema inabidi
uwataje na useme umezini nao
mara ngapi ili nao pia
tuwaombee..."
Jamaa: "Daaah, hapana
mchungaji... Naona aibu saana,
siwezi ongea..."
Mchungaji: "Owky, sawa basi..
Baada tu ya ibada kuisha tutatoka
lango kuu wote na ukimuona
yoyote uliyewahi zini naye we
sema 'ALELUYA'... Kama umezini
naye mara moja, utasema
'ALELUYA' mara moja... Kama ni
mara tatu hivyo hivyo..."
Wakakubaliana na ibada ilipokwisha
wote wakawa lango kuu la
kutokea...
Waumini walipoanza kutoka,
akapita mke wajirani yake
mmoja...
Jamaa: "ALELUYA, ALELUYA,
ALELUYA, ALELUYA,ALELUYA,
ALELUYA, ALELUYA....
Mchungaji: "Mungu akusafishe na
kukusamehe kabisa mara saba zote
mlizozini..."
punde akatoka mkee
wa mpiga kinanda
wa kanisa..
Jamaa.."HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
Mchungaji.."mungu awasamehe
kwa mara tatu zote mlizozini.....
Mara ghafla akawa
anatoka mke wa mchungaji hku
kashka
biblia.
Jamaa..."HALELUYA HALELUYA
HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
HALELUYA HALELUYA
kabla hajamaliza mchungaji
akamuwesha bonge kofi
jamaa la uso huku akixema
mbwaaaaaaaaa shwetani mkubwa
na
mungu ackuxamehe
bali akufanye kuni na
tooooka nckuone kanisani kwangu
paaambavu mkubwa
kunguni wee