Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sure suremwandishi utakua umetumwa wewe
Vyombo vipi vifanye kazi? Polisi wamemuua mtuhumiwa ili kumnyamazisha. Mtuhumiwa ameuawa akiwa amepiga magoti na amenyanyua mikono. Bunduki alizokuwa nazo aliwany'anya polisi. Hapo kuna uhusika wa Polisi.napenda sana technolojia, picha za miaka nenda rudi zisharushwa kuonyesha maisha ya muhusika wa tukio na nyingine bado zitakuja za shule alosoma nk
tuachie vyombo husika vichunguzee
[emoji23][emoji23]Mbona umeandika kama wewe ni polisi, kawaambie wenzako acheni dhulma mbwa nyie.
Wadau kwa maswali mnahoji uliza, kwanini hakuua raia na akaua Askari ni kwamba, jamaa hakulenga kuua raia yoyote ataeonekana mbele yake. Pia hakuwa na lengo la kuua askari ila aliwashambulia sababu alijua wamekuja kumzuia kufanya mission yake ambayo kwa haraka haraka ni ubalozini tu.
Lakini pia mnaohoji kwanini polisi walimlenga kwa kumuua kabisa na si kumkamata ni kwamba, jamaa alikuwa na silaha mbili za kivita ambazo huwa hazirembi eneo la tukio kwenye mashambulizi hivyo polisi walijihami kulinda uhai wao sababu kutokana na ukamataji wa silaha zile ni lazima ujihami kwa kuamini yule ni jambazi sugu au gaidi hivyo waliamini kwa mazingira yale wangeremba jamaa angetoka na raia wengi au askari wengi.
Kuhusu sababu ya kutaka kufanya hayo yote ubalozini mimi na wewe hatujui. Wacha polisi wafanye kazi yao najua ndani ya wiki moja tutapata jawabu la usahihi.