Wakuu,
Huyu rafiki yetu tumwite G , ni mtu mzima around 54, yaliyomkuta hapa anahadithia kama Hana akili.
Ndoa zote tatu chali cha mende lakini anacholalamikia ni mambo kadhaa
1. Kasema wanawake wote hao Wana usaliti wa chinichini na wazi
2. Tamaa kwa wanawake zake wote alioachana nao
3. Wanawake zake kwa vipindi tofauti hujirahisisha hadi kwa marafiki zake na wanapita nao
4. Wanawake zake anasema hupenda matumizi makubwa ilihali uwezo hawana na makwao ni maskini kabisa
5. Wanawake zake huzuzuka na miji kwani wakitoka vijijini hua wapole na baada ya muda hubadilishwa na miji na kuanza kushoboka kwa watoto wa mjini
Hapa tubaendelea kusikiliza , kwa wajuzi wanawake wa hiyo mikoa Wana nini au tatizo gani ili wengine pia wajifunze,