Jamaa aliyemla lecturer wake amenizidishia ujasiri

Jamaa aliyemla lecturer wake amenizidishia ujasiri

Yule jamaa aliyetuletea stori yake ya kumtafuna lecturer wake kanizidishia ujasiri kwa sasa kila demu naona nammudu hata awe amenizidi kipato namna gani wademu wa hovyo wote napiga chini natafuna watoto wa kishua
Uzinzi na uasherati hautakuacha salama hata kidogo. Ikimbie zinaa ndugu, zinaa siyo kitu cha kujisifia. Kuna madhara makubwa sana yatokanayo na zinaa, madhara ya kimwili na kiroho. BWANA MUNGU amekataza zinaa siyo kwa faida yake bali ni kukuepusha wewe na madhara yatokanayo na tendo hilo.
 
Back
Top Bottom