Jamaa aliyeniibia kuku mwaka jana leo amefariki, mtaa unahisi nimemroga

Pole sana mdau.

Story yako haina tofauti na ile ya Hussein machozi kafia getto.

Anza kuoga maji ya chumvi sasa 😁
 
Jamaa kuna mahali alidhani ameiba kuku, kumbe kamuiba Izraeli mtoa roho😭😭🤣🤣
 
Asante sana mkuu wangu nimekuelewa sana, nazidi kuongeza ibada
 
Sawa.
Kwa hiyo unapatikana maeneo gani nije nichukue dawa maana huwa sipendi dharau mimi?
 
Kaka mimi nakushauri usihame kama ni nyumba yako. Kama ukweli ulivyojulikana kwamba jamaa aliiba kwa kukiri mwenyewe, basi mwachie Mungu na hilo hatia yako itajulikana mbele ya safari.
 
Kwanzà nikupongeze sana, haya majizi si yakuyaonea huruma ulichofanya ni vizuri sana si unaona mtaa mzima wana kuheshimu sasa?
Tena jizi jingine likikuibia wewe roga afe na ukoo wote halafu unakuja jf unakataa. Ushahidi kwamba ni wewe hakuna.
 
Kama kuku ndo huyo kwa dp na unategemea ufugaj tu usihame mkuu yani mwizi akuibie na akuhamishe huo ni unyonge mkuu we fanya kama hakijatokea kitu na andika bingo kabisa unauza kuku wenye kinga dadek mkuu usihangaike kwanza kwao wenyew walishamchok kachafua san jina la familia
 
Maneno yako mazuri sana mkuu, nitafanya Hilo hasa visomo vya dua
 
Mkuu pole sana.
Umengizwa Kwenye Fitna kubwa.
Muombe Mungu sana akuondoe kwenye fitina hiyo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ingekuwa ni mimi, wakati tu napata taarifa kuwa ni mgonjwa na ananihisi mimi kuhusika. Basi ningeenda kumuona na kumuweka wazi kuwa sihusiki kwa chochote na badala yake atubu na kuomba msamaha kwa aliye muumba.
Nafikiri hii ingeleta amani kwako na kwao pia.

Kwa sasa cha kufanya jikite kufanya yaliyo mema tu halafu usiruhusu hofu ikutawale hata kidogo.
 
Kama haujafanya kitu kuwa na amani, ila kuanzia sasa nyumbani kwako wezi watapaona kama jehanamu.
 
Usihofu chochote mlinzi wako mkuu ni MUNGU unayemwamini kwa dhati, na hata hao watalamu wao wenye kufaata haki huwa wanaangalia ukweli uko wapi na shetani siku zote atakuwa chini ya mamlaka ya mwenyezi MUNGU tuu
 
Wewe umemroga afe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…