Umenena vyema joanahMbona kama wanatafutiana kiki tu
Huyu kijana anatafuta kiki kwa nguvu sanaSijaingia JF siku kadhaa,kuingia tu nakutana na mi thread kibao inayomuhusu Harmorapa.
Asa c mtapasuliwa kila uchaoTunatafuta fursa.
Hahahaaaaaaa hivi ni kweli au kick tu jamani?